Search results

  1. moto ya mbongo

    Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Nyuklia management yake ni ngumu sana na gharama sana , ni umeme hatari japo nu nafuu.
  2. moto ya mbongo

    Mtandao gani nitapata GB 1 kwa Sh. 1000 kwa wiki?

    Airtel ofa yako unapata 1 GB kwa siku 3, pia GB 5 kwa 5,000 siku 5 kwa Dar ,Moro na Dodoma sijajua Mbeya,Mwanza na Arusha. Inakula pole pole kuliko Tigo, Halotel na Voda inapoliwa haraka kama siagi inayeyuka kwenye kikaango.
  3. moto ya mbongo

    Uchaguzi 2020 Nadhani Afrika Kusini inawajibika kututhibitishia kwamba karatasi na vifaa vya kura vimezalishwa na kampuni ya nchi hiyo! Wasije kuonekana wanashiriki

    Wameprint JAMANA Printers chini ya uratibu wa wasiojulikana (TIS....) badala ya kampuni iliyoshinda kandarasi ya Afrika Kusini inaitwa REN FORM CC.
  4. moto ya mbongo

    Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

    Yaani ni kweli kabisa yaani watu wa TISS kwa kushirikiana na makada wakubwa yaani MaRC, maDC, MaRAS, MaDAS na wengine wamefanya hivyo. Yaani ni makada na wale wanaoitetea CCM waliopewa nafasi kuna maafisa maendeleo kata (CDOs) wengi yaani unaambiwa hata akija mtu asiyejua kusoma na kuandika...
  5. moto ya mbongo

    TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

    Pumzika pema Agnes Almasi. Gone too soon jamani.
  6. moto ya mbongo

    Satstar S9HD Combo

    Peleka ombi lako kwenye jukwaa la African Satellite and World Sat Gear ujibiwe haraka.
  7. moto ya mbongo

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Kijana kaangukia pua. Na mafunzo yote aliyoyapata kule.....
  8. moto ya mbongo

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Soma thread yote kama hukuwahi kuisoma tukio la ajali lilipotokea
  9. moto ya mbongo

    Msaada: Tumetapeliwa!

    Smart phones huwa zina tabia ya kutunza password kwenye app ya Swiftkey sasa alipoomba simu arekebishe mtandao alitumia muda huo kuiba tena kwa haraka. Kwanini atoe simu ya biashara kumpa mtu asiyemjua hilo ni kosa kubwa mno limewagharimu.
  10. moto ya mbongo

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Simile ya.....mwishoe kafa kweli.
  11. moto ya mbongo

    Nikivyokuwa Mdogo hela yangu ikiisha hapa...

    Inaitwa Kaleido Scope.
  12. moto ya mbongo

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Hatimaye mgonjwa wetu kiongozi wa wasiojulikana Bwana Ephraim Nyaulingo kafa kama wanavyokufa wengine kweli unaua wenzio kumbe nawe siku yako inafika unakufa kwa maumivu mengi bila kujielewa.
  13. moto ya mbongo

    Naomba mnisaidie microsoft office yoyote nzuri

    Pakua usiku kuanzia saa 6 kamili kwa Halotel unlimited internet kwa shilingi 1,500/= mchana hautaweza.
  14. moto ya mbongo

    Msaada wa kudownload series (all in one)

    APP YA MATANGAZO YEYE ALIPWE NA GOOGLE. NOT SAFE NOT RELIABLE USIDOWNLOAD TAFADHALI.
  15. moto ya mbongo

    Updates sakata la Nchambi MB

    Atakuwa safi kabla ya Uchaguzi Mkuu kufika, ngoja upepo upoe.
  16. moto ya mbongo

    Orodha ya watu maarufu zaidi duniani toka dunia kuumbwa

    Chinja chinja huyo na aliyekuwa anapenda ngono kuliko chakula, hajaacha legacy njema kwa dunia zaidi ya chaos and fear na kukandamiza haki za wanawake.
  17. moto ya mbongo

    Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

    Tumia Avast Secure browser ina features nyingi na nzuri pia Yandex ya warusi ipo vizuri. Zote ni chromium browsers.
Back
Top Bottom