Search results

  1. Gamariel

    Mtu mwenye ualbino akatwa sikio Mkuranga

    nimeambiwa kwa sasa yule hospitali ya mkuranga. ndio maana nikaomba mwenye taarifa zaidi atujuze
  2. Gamariel

    Mtu mwenye ualbino akatwa sikio Mkuranga

    mwenye updates atupe tafadhali
  3. Gamariel

    Mtu mwenye ualbino akatwa sikio Mkuranga

    Ndugu wadau, Nimesikia kuwa huko Mkuranga usiku wa kuamkia leo mtu mwenye ualbino amejeruhiwa vibaya na kukatwa sikio. Amelazwa katika hospitali ya Mkuranga. Mwenye taarifa zaidi atujuze jamani. Hivi nchi yetu tunaenda wapi? Kwanini swala la ulinzi kwa watu wenye ualbino bado ni tete? Nini...
  4. Gamariel

    Onesha upendo kwa kupiga kura kuwasaidia watu wenye albbinism

    Ndugu Wanafamilia , jamaa na marafiki. UTSS imebahatika kufuzu kuwania kupata tuzo ya Euro laki moja 100,000 /= sawa na Tshs 209,000,000 kutoka Netherlands . Kila mwaka wizara ya mambo ya nje ya Netherlands hutoa tuzo ya haki za binadamu iitwayo Tulip kwa watetezi wa haki za binadamu ambao...
  5. Gamariel

    Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    Sijaona wasanii wenye ulemavu wakishirikishwa
  6. Gamariel

    Biiashara nzuri kwa mfanyakazi

    Habari za mchana. Ndugu wadau naomba kupata ushauri juu ya biashara nzuri ambayo mtu alieajiriwa anaweza kuimiliki na bado akapata faida bila matatizo yeyote. Nasema hivi kwasababu biashara nyingi huhitaji karibia muda wako wote kusimamia. Wafanyakazi wengi hubanwa na shughuli za mwajiri hivyo...
  7. Gamariel

    Kwa mtindo huu basi na posho wasipate

    Kwakuwa Bunge maalum la katiba limemaliza zaidi ya asilimia 30 ya muda wake bila ya kuwa na zao linaloonekana. Nahisi umefika wakati kila watakapo ahirisha kikao kwa sababu yeyote ile basi posho ya kikao husika wasipewe manake hakiwezekani mtu apewe posho ya kuahirisha kikao au ya kitu ambacho...
  8. Gamariel

    Mwanga mkali mithili ya radi wazua hofu kwa wakazi wa pwani ya bahari ya Hindi!

    TAHADHARI! Inasemekana kua leo usiku saa 6:30 hadi 9:30 miale inayoitwa COSMO, itaingia DUNIANI kutoka sayari ya MARS. Hivyo zima simu yako usiku na
  9. Gamariel

    Dawa ya ashki kwa wanawake inahitajika(libido boost medicine)

    May be you have hormonal imbalance so you need to check is hormones are balanced and two if you believe in the living God pray siting his words so as you can play part in your marriage
  10. Gamariel

    Ngololo

    Hili neno ngololo maana yake ni nini?
  11. Gamariel

    Dawa ya Metakelfin imemgeuza Mtanzania huyu kua Albino

    Please let's remember the following: Albinism is a genetic condition caused by a genetic mutation. One inherits the genes from both parents … persons with albinism are born with the genes that causes albinism. The mutation in the tyrosinase genes would have taken place before one is born with...
  12. Gamariel

    King'amuzi kizuri

    Nunua satellite dish umalize fitina ving'muzi vingi ni mbwembwe tu
  13. Gamariel

    Ufreemason

    Kuna mida swala la Freemasons liliwika sana mjini lakini naona silisikii sana. Kuna wakati mtu akiwa na pesa utasikia huyu ni Freemason. Wimbi hilo lineishia wapi?
  14. Gamariel

    Huu mnada magari tra

    Bei ya magari hayo is not fixed Maybe wapigie tra
  15. Gamariel

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Dhamiria toka moyoni kuacha Chukia kabisa kitendo hicho Achana na picha au tamthilia au video au movie za ngono Fanya mazoezi
  16. Gamariel

    Baraza la Maaskofu wa Pentekoste lakutana ghafla kuhoji kwanini halina mwakilishi Bunge la Katiba

    mtikila ameingia kama mwakilishi wa chama chake cha siasa
  17. Gamariel

    KUFURU: Posho Bunge la Katiba ni sh 700,000 kwa siku!

    Pengine gharama za maisha pale Dodoma zitakuwa juu sana kwani si tu hao watu 500+ watakaokwenda Dodoma nafikiria kutakuwa na wadau mbalimbali so pengine Hiyo hela imezibgatua mambo hayo
  18. Gamariel

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Neno la Mungu linasema usihukumu usije ukahukumiwa usilaumu usije ukalaumiwa na usilaani usije ukalaaniwa.
  19. Gamariel

    Waandishi waitwa Ikulu saa 11 Jioni hii (Feb 07, 2014)

    [QUO TE=Manosa;8629988]Deusi Kibamba vipi? Msikia Many people apart from political parties am not sure if they are radical
Back
Top Bottom