Search results

  1. N

    Msaada Na HKL yangu

    Jamani Mm Ni Mwalimu Ninadegree Nipo Kazini Kwa Miaka Mitatu Nataka Mwakani Nikasome ,sitaki Kusomea Ualimu Coz Maisha Ya Ualimu Ni Ya Kiboya,je Ni Kozi Gani Iko Poa Sokoni,masters Au First Degree,olevel Nina Two Ya Point 20,na Advance Hkl Dvn One Point 8,msaada Wenu,nitajie Course Na Chuo...
  2. N

    Naombeni Msaada Wa Kisheria

    Dawa Ya Deni Ni Kulipa!,jamani Naombeni Msaada Wa Kisheria Kuna Jamaa Alinikopesha Hela Ya Riba Laki Nne400000 Ambapo Nilitakiwa Nimlipe Laki Sita,nilikubali Coz Nilikuwa Na Matatizo Nimemlipa Laki Nne Tayari,laki Mbili Bado Coz Mambo Yangu Saiz Hayako Poa Lkn Jamaa Ananisumbua Kila Tukikutana...
  3. N

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Wadau nina muda wa miezi 6 tangu nioe, lakini mara baada ya kuoa nimegundua nina tatizo la mature ejaculation( yaani natoa shahawa mapema). Haifiki hadi dakika tano nakuwa nimepizi. Kabla sijaoa huyu mwanamke nilikuwa nachukua hadi nusu saa kupizi ,cjui tatizo nini? Nisaidieni ni muda gani...
  4. N

    Msaada wa aina ya gari ya kununua

    Jamani Nitambua Humu Kuna Wataalamu Wa Magari Na Beia Zake,nina Milioni Kumi Nahitaji Gari Ya Kutembelea,je Ni Aina Gani Ya Gari Naweza Pata Kwa Hela Niliyonayo,pia Mafuta Inatumiaje,iwe Nzuri Mwonekano,msaada Plz
  5. N

    Huwezi Tenganisha Elimu Bora Na Nidhamu Bora

    Wadau Mimi Ni MWalimu Lakini Napata Shida Sana Katika Hii Fani Yangu Sababu Nidhamu Ya Wanafunzi Ni Mbovu Wanakuja Shule Kwa Muda Wanaotaka ,mabinti Wanakuja Wamenyoa Viduku,mbaya Zaidi Ukitaka Kumwadhibu Mtoto Mkuu Wa Shule Anazingua Eti Serikali Haipendi,je Nifanyaje?,je Elimu Bora Itapatikana...
  6. N

    Natafuta mchumba au mke

    Nina28,black in color
  7. N

    Natafuta mchumba au mke

    Awe na miaka isiyozidi 26.my phone 0714960298.mzuri na mweupe
  8. N

    Natafuta mchumba au mke

    Jamani nina miaka 28 natafuta mwanamke Wa kuoa awe mzuri wa sura na shape, rangi nyeupe. Nipo mbeya. Nipo serious aliyetayari anitafute kwenye namba 0714960298. Umri usizidi miaka 26
  9. N

    Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    mimi niliachwa na mchumbangu na nimezaa nae mtoto kisa utofauti wa kipato yy tra mm mwalimu.
  10. N

    CWT na Jukwaa la Walimu kuitisha maandamano kumpinga Lissu juu Mwl. Nyerere

    Mwalimu atakae andamaana atakuwa akili yake iko kama kalio.walimu wanashindwa kuandamana kudai maisha magumu yatokanayo na uduchu w aa mishahara then waandamane kupinga mambo ambayo hayaathiri maisha yao.---- you teachers mtakao andamana.
  11. N

    Usaili kwa tuliomba uhamiaji ni lini?

    Tunaomba mwenye taarifa atujuze
  12. N

    Naomba nijue jinsi ya kumtoa mpenzi wangu bikira plz

    Paka mafuta ya raizi kwenye kichwa cha uume ili ipite kiurahisi
  13. N

    Natafuta mchumba au mke

    Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya. Natafuta mchumba au mke wa kuoa . Vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na sifa ambazo mwanamke anatakiwa awe nazo. Mawasiliano 0714960298
  14. N

    Faida ya kukaa muda mrefu bila tendo

    faida ni kuwa na bikira ya kichina
  15. N

    During sex: What is your favorite song to hear?

    mi napeenda wimbo wa feroooz sterehe
  16. N

    Ezekiel olochu anatia aibu.

    Mwenzenu mimi kama Mwalimu naona aibu kuangalia Bunge kutokana na michango mibovu inayotolewa na mwalimu mwenzangu Olochu katika kikao cha bunge. Kweli inaniuma kama yeye ni mwakilishi wetu wa chama cha walimu sidhani kama walimu tutaweza pata haki zetu katika katiba mpya.
Back
Top Bottom