Search results

  1. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    Ndugu zanguni ninafuraha kuwapata taarifa kuwa nimefanikiwa kupata kazi katika manisipaa moja nchini kama Afisa maendeleo ya mji.Hivyo wote mliojitokeza na kunitia moyo kweli nashukuru sana.Pia nashukuru kwa michango yenu mizuri milokuwa mnachangia ili kuhakikisha kilio changu kinatatuliwa. Kwa...
  2. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    asante nitalifanyia kazi
  3. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    sijapata jamani ndo jana tu nimeomba kwenu.nikifanikiwa nitawambia ila bado ndo nafanyia kazi ile niliyotumiwa na sinkala. kama ipo nisaidie jamani.
  4. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    sante ndugu yangu kwa ufafanuzi. kwa kifupi karibia kila kozi tuna soma mpaka account,bussiness law,information technology vyote tunasoma kwa hiyo naweza kazi aina hizo
  5. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    asante nitakutumia CV ila picha sitaweza ndugu yangu kama kunisaidia mpaka nitume picha nisamehe.
  6. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    asante sana kwa kunitumia hiyo post.nashukuru nitaifanyia kazi.
  7. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    Asante kwa ushauri wako na samahani kwa kuwa too general.Advanced diploma ya Regiona planning ndo niliyosomea.
  8. S

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    Mimi nimsichana wa miaka 27 nimemaliza advanced diploma katika chuo cha mipango Dodoma, Wakuu niemelekezwa nije huku nijiregsiter na kueleleza yote niniliyo nayo naweza saidiwa. Kifupi mimi ndo mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili wote tukiwa wakike.baba yetu alifariki mwaka 2003...
Back
Top Bottom