Search results

  1. F

    Hatimaye Zimoto kimeeleweka

    asante mungu nmepata kazi baada ya msoto wa 2years japo wengi watabeza kua ni hela ndogo sio mbaya ndio pa kuanzia
  2. F

    Mnaowaanika viongozi wakiwa katika faragha mna maana gani?

    umetumwa wewe ndio viogozi wako hata siku wakikuambia wakumege utakubali
  3. F

    Upendo Msuya wa Channel Ten

    acha kumfatilia mke wangu unaijua MISITU YA MABWEPANDE?
  4. F

    Upendo Msuya wa Channel Ten

    upendo akianza kubadilika au kuchepuka ntakutafuta.....USIONE VIPAPENDEZA TU....
  5. F

    Upendo Msuya wa Channel Ten

    wewe ndio unamsalandia mke wangu unapajua misitu ya mabwepande?
  6. F

    Kimya kingi kina mshindo mkuu

    hvi kama watatoa majina na hupo si utatamani kujinyonga
  7. F

    Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

    Mimi toka nimejiunga sijawahi kupigwa ban, je wewe?
  8. F

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    nmedokezwa kua uhamiaji wamepachika watu wao 60 kwenye nafasi walizoita watu zaidi ya elfu 10, kuna majina nmeambiwa lazima yawepo na nimemrekodi aliyeniambia nangoja baada ya mchujo hayo majina yakiwepo naenda mahakamani kumshtaki huyo bosi wa uhamiaji aliyefanya hvyo
  9. F

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    kuna watu wanawasifu kuita watu wengi wenye vigezo ila sio sahihi bado... Kuna rfk yangu ni mtoto wa kamishna mkubwa wa uhamiaji kanambia kuna watu wao wamewapachika wapo ktk waliowaita interview na kuna majina kaniambia lazima yapite na kanionyesha bahati nzuri nmemrekodi kila alichosema...
  10. F

    Kazi ubalozi wa Marekani

    washajulisha watu wao kuna hr 1 hapo ni noma kwa watoto ila wewe omba tu
  11. F

    Wizara ya kazi na ajira mmefikia wapi utekelezaji wa agizo lenu?

    raisi gani unamzungumzia wa madawa ya kulevya, asiyejielewa!
  12. F

    Marufuku mabango ya waganga wa Kienyeji

    nmekumis mbona cku hzi hunipm au kwa kua nshamaliza utafiti wangu
  13. F

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    Huyu kamishna hata kama niwa anatakiwa afikishwe kwa pilato pamoja na hr manager wa uhamiaji...haiwezekani nafasi 70 uite watu zaidi ya elfu kumi , katumia criteria gani? Au mlioitwa mnatakiwa muende alafu mgome kufanya usaili iwe fundisho wasirudie mwaka mwingne bz hata kama utang'ang'ania huo...
  14. F

    Marufuku mabango ya waganga wa Kienyeji

    tz raha sana ni maneno tu hakuna utekelezaji
  15. F

    Tabia ya rafiki yangu inanishangaza

    anakutaka au anataka tamuu ya babaa
  16. F

    Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    anayejinyonga hatangazi...rip
  17. F

    Natafuta kazi ya kujitolea Morogoro mjini

    ataishia kuto.... Huyo
Back
Top Bottom