Search results

  1. kende

    Nikki Mbishi vs Wakazi

    Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'
  2. kende

    Kwako Harmonize, chukua ushauri huu

    Very constructive critisism
  3. kende

    Kenedy 'The Remedy' wa Clouds FM

    Mi namuona wa kawaida tu, kwa hawa watangazaji wa vipindi vya burudani wa miaka ya hivi karibuni naona Lil Ommy kidogo ana upekee
  4. kende

    Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

    Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia
  5. kende

    Uzi maalum wa kuombana HELA

    Kwa yeyote mwenye marinda namuomba buku 5 na leo nikapige kitimoto kama jana
  6. kende

    Nilichokiona jana kwenye Wasafi Festival 2018

    DUDUBAYA? Apart from Harmonise, Rayvanny n' Mond hakuna msanii aliyemzidi Dudubaya usiku ule kwa namna alivyopokelewa vizuri na mashabiki, what a'u talking about? MOCO (Moni n Country)? Yes walifanya vizuri kwa stage ila sio kivile, walizidiwa hata na Young Killer NAVY KENZO? Eti hawana uzoefu...
  7. kende

    Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

    Huyo mchungaji anatafuta kiki, sawa tutaenda kanisani kwake na sadaka asijali
  8. kende

    Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

    Hapa bado kuna vitu vingi vinafichwa, ngoja nikae kimya ila ukweli utajulikana tu
  9. kende

    Diamond Platnumz aibiwa Mtwara, kibaka akwapua cheni zote

    [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  10. kende

    Mwisho wa ubaya ni aibu

    Alihudhuria January Makamba tu na wafuasi wa Ruge[emoji3][emoji3]
  11. kende

    Afande Sele: Clouds hawawezi shindana tena na Wasafi

    Hujui kwamba redio nyingine zinafuata mkumbo wa Clouds? Yaani msanii akifanya vizuri clouds na wao wanapita humohumo
  12. kende

    Wasanii hatujalipwa Fiesta

    Whozu bwana[emoji3][emoji3]
  13. kende

    Wasafi mtufikirie na sisi wasanii tuliokuwa kwenye Fiesta

    Kwani we Stamina unatumiaga dancers?[emoji3]
  14. kende

    Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

    Hawezi kuwa nayo kama lipo basi moja tu
  15. kende

    Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

    Qwisa bwana, huamini ulichokiona?[emoji3]
  16. kende

    Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

    Kwahiyo hiyo nukuu ya mstari mmoja tu ndo imekufanya umuanzishie thread?[emoji56]
  17. kende

    Nilichokiona jana kwenye Wasafi Festival 2018

    Hapo kwa Rayvanny umeongozwa na roho mbaya na si uhalisia, ila hapo kwa 'Tamaduni Music' ni kweli walikuwa 'worst performers'
  18. kende

    Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

    Kama Diamond anamiliki 45% basi respect kwake no matter anayemiliki hizo asilimia zilizobaki ni nani, nilistushwa kipindi kile nilipoona taarifa anamiliki chini ya 10%, ningemuona boya
Back
Top Bottom