Search results

  1. J

    Katika katiba mpya

    Katika katiba mpya itafaa sana kama kutabainishwa ukomo wa mikataba inayosainiwa na viongozi wetu akiwemo RAISI, WABUNGE na WENGINEO. Itakuwa beneficial sana kama mikata wowote ule usipozidi miaka mitano ili kuweza hata kutafakari maendeleo ya mkataba husika na matunda yake, vile vile kuweza...
  2. J

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    2: "Kimbunga ch Haiyan cha Ufilipino kilichoua watu zaidi ya 6000" ndicho kimetikisa dunia! Kwa sababu: -Kimeibua hofu, majonzi na simanzi kwa walimwengu wote -Kimeleta hasara kubwa kwa taifa husika na ulimwengu mzima, mali kuharibika, miundo mbinu kuvunjwa n.k. -Kimepoteza maisha ya wengi...
  3. J

    Liar girls resing in Dakar senegal refugees camp.

    Wakasema haiwezekani, nimewaambia wanitumie kwa gharama zao then nikidraw nitawarudishie cost watakazotumia! Nimemaliza kuwajibu saa hii nasubiri wataniambia nn?
  4. J

    Liar girls resing in Dakar senegal refugees camp.

    Hata mie ishanikuta! But kabla ya yote nliingia mtandaon kutafuta zile information alizonipa, nikagundua kuwa ni fake. Nilichokifanya nkaanza kuwaonyesha kuwa mie ni 'MSWAHILI' tukaanza chatting tunazungushana kweli, wakadai nitume transfer cost nikawawekea story za kalumanzila wakanyoosha...
Back
Top Bottom