Search results

  1. matwi

    Rais Magufuli, Mafuru apelekwe mahakamani sio kupangiwa kazi nyingine

    Kazi ipo wacha nikavue sangara tu
  2. matwi

    Klabu Bingwa UEFA, Jumanne hii

    6 mingi sana labda 3
  3. matwi

    CCM yapongeza ushindi wa Museveni kwenye uchaguzi

    kwahiyo kwenye sherehe za kuapishwa mheshimiwa mwakilishi atatoka katika chama na sio serikali.
  4. matwi

    Ndio kashasema sasa

    hizo kura anapiga peke yake au..?
  5. matwi

    Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

    hiyo coriander juice nitaiweza kweli kama tu ikiwekwa kwa mboga kama spice nashindwa
  6. matwi

    Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

    hata mimi imenisumbua hapo ila nimekuja pata solution ni to download new version ya hiyo huawei flasher gonga hapa Download huawei flasher 1.6.zip
  7. matwi

    azam

    frequency ipi mkuu
  8. matwi

    Enzi zetu ukimiliki hii kitu basi ni jambo la heshima mtaani...!!!!

    baada ya swala kupotea akaja Avon Hizo bike zilikua hazifai yani ukiendesha baada ya mwezi huitamani
  9. matwi

    TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

    toka mgao umeanza solar panels na generator bei juu sasa wakipandisha na huu umeme unaowaka kwa masaa kadhaa tutafika tu mwisho
  10. matwi

    Mzee wa feva kajipumzisha kidogo...!

    hicho kitambi kinatoboa shati sasa hapo akifika home familia yakula ugali kwa nyanya chungu
  11. matwi

    Chuo cha uhasibu arusha chafungwa.

    kama ndugu watachukua mwili kesho na watu hawapo chuo hawaoni itakua ni kuongezea hasira watu
  12. matwi

    Chuo cha uhasibu arusha chafungwa.

    kwahiyo hawataweza muaga mwanafunzi mwenzao au itakua vipi sasa.
  13. matwi

    Finally,nimeamua kufunguka....

    yani ile miaka 39umegeuza imekua 19 hongera
  14. matwi

    Finally,nimeamua kufunguka....

    wazo zuri maana baridi mwaka huu itakua kali na kwa mda mrefu
  15. matwi

    Kama jina lako ni Mary, marufuku kuwa kahaba...!

    Fumbo la imani Bahati mbaya kwaresma imeanza leo ningeenda mtafuta Maria pale shivas
  16. matwi

    TANZIA: Padre Afariki Dunia Zanzibar

    Mwanga wa milele umuangazie eeh bwana apumzike kwa Amani. Pole waumini wote ,ndugu jamaa na marafiki
  17. matwi

    Hayawi Hayawi, yamekuwa!...Safari ya Tanga ni kesho 28/12/2012

    hii safari inakuaje mhudumu wa vinywaji sina taarifa nitamwambia babu awanyime juice ya miwa na madafu
Back
Top Bottom