Search results

  1. kikaango

    Kuvaa Kofia za Kijeshi

    Wewe umefulia kweli uniform yao inakuhusu nini! wee achana nao au nawewe unataka uvae? ngoja wakudunde ndo utaheshimika!
  2. kikaango

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Wee kwanini useme chadema na c cuf? Ukitoa maoni usijipendelee waache wachangiaji wakupendelee
  3. kikaango

    Wananchi wafunga barabara Segera!

    nawafagilia ila mngenikuna zaidi kama mngemkunja huyo aliyebomoa vibanda ili akamlilie aliyemuuzia, Big up sana mvizieni na huyo
  4. kikaango

    Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

    Yaani wewe ni pimbi kweli yaani! mtoto wa shule unamfanya hivyo halafu sis wa rafiki yako, isitoshe umekaribishwa kwa ukarimu, huna maana kabisa wewe sasa unataka ushauri gani labda uende jela ndo utafungua akili, ok by the way ingekuwa mimi nisingekubali hata kuongea nae kama alipotaka, halafu...
  5. kikaango

    Taka za sumu

    Hebu cheki hii link kwanza: http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_amkanabbc.shtml Yaani inafikia hatua kukubali nchi zetu kufanywa jalala tena la taka za sumu? Tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi? hii si afrika jamani? source bbc news
  6. kikaango

    All these words mean sex?

    kumega, kumegewa kummega nayo yapo na mengine mengi ila je ni sifa au ukosefu wa busara? Wadau mi naona hakuna mantiki ni kuaribu lugha yetu tu inayokuwa kwa kasi sasa hivi.
  7. kikaango

    New English term:Kanumbarization

    Na wewe ndo pumbafu kabisaaaaaaaaaa nani kakuambia elimu ni kujua kiingereza? wee ndo umefulia kabisa lione ndo maana hujui kusoma weye, sasa sisi tunaoongea kifaransa, kispanish na kiitaliano pamoja na hiyo kiingereza chako na hatujamaliza hata form four ndo tuonekane wasomi sana? Jiandae ndo...
  8. kikaango

    Naambiwa ana mimba yangu

    Yeah kichaa wangu hapo ni full kubambikwa ila simlaumu maana we are all human being so mchukulie poa na mlee vizuri hadi ajifungue maana yawezekana kwanza hana mimba ila anakujaribu kwamba unavyojimegea kavu ikitokea hivi utafanyaje? Sasa kama anakujaribu mwambie tu asubiri dogo aje duniani then...
  9. kikaango

    Mmasai na chupi

    Hapa kidogo inaleta hisia ya kucheka teheeeeeeeeeee
  10. kikaango

    Maasai Jokes

    Hii haina mvuto ni udhalilishaji na si joke, Fikiria kabla kuleta joke zako na ujue wasomaji ni watu wazima si watoto.
  11. kikaango

    Tanesco/serikali wanatumaliza

    Huu ni ufisadi mtupu watu wanatafuta jinsi ya kula hela za wananchi, Kodi mle nyie sasa mnatafuta kodi nyingine kupitia umeme? Yale mamilioni ya richmond mmemega kimiakimia sasa mnatafuta mfuko wa kutunyonya tena hakika hii nchi imelaaniwa toba yarabi nyie mafisadi ipo siku yenu tu. Wadau hebu...
  12. kikaango

    Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

    Man thanx for a very interesed article. By the way nimeshawai kunywa red bull zamani kama kopo tatu per day nikaona moyo waenda mbio sikurudia tena so nashukuru kama wenzio ndo mnaamka leo ni vema njooni kwa juice natural na maji ndo safe ila haya manywaji yanayotengenezwa na chemical yote hati...
  13. kikaango

    Vimini makanisani

    Amwangaliaye mwanamke kwa kumtamani tayari ameshazini nae so wewe katubu kwanza maana ushazini na wanawake wote hapo, Ukienda kanisani kama uvumilivu wako mdogo kwanini usikae upande wa wanaume peke yake? Halafu unapotembea si unawaonaga wengi wamevaa vimini sasa mbona hujasema wasiwe wanavaa...
  14. kikaango

    What a great favor to get from ur pregnant wife,..??

    Hahahahaaaaaaaaa i think he fall down, may be that pregnant is for him hahaa!
  15. kikaango

    Bomu latibua futari Mbagala!

    Poleni ndugu zangu mungu yupo atawaokoa. Serikali wasaidieni hao kusafisha kabisa maeneo au kuwahamisha
  16. kikaango

    Hodihodi wajameni!

    Nimechoka kuangalia humu kimiakimia sasa nabisha hodi kabisaaaaaaaaaaa naomba mnikaribishe! Kama kawaida hiki ni kikaango hakichagui mboga, twende kazi.
Back
Top Bottom