Search results

  1. T

    Hi kodi ya manispaa inayoitwa service levy haipo sawa irekebishwe

    Daaah! Hyo m imenikuta leo nmshamaliza kulipia leseni ya biashara nawauliza linii nijee kuchukua leseni yangu nashangaa wsnaniambia badoo hujalipia service levy 108000 hii ina zidii hadii lesenii yenyewe
  2. T

    Utaratibu mzuri wa kisheria wa kununua ardhi kuepuka migogoro na utapeli

    Na Vp kuhusu vle viwanja wanavyo Toa HALMASHAURI husika wanakuwa wanauza Kwa Square meter = 7000 mfano hivyo navyo Inakuwaje unafata hatua gani ili huakikisha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Utaratibu mzuri wa kisheria wa kununua ardhi kuepuka migogoro na utapeli

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Ni Kosa kuendesha gari Zanzibar Ukiwa na Leseni ya Tanzania....

    Duuh sikuwah kulijua Hliiii
  5. T

    Msaada tafadhali jinsi ya ku activate iPhone S5

    Nielimishe hapo inawezekana mtu uka mpa username na password yamtu mwengine ikafanya kaz?
  6. T

    Msaada passcode kwenye iphone 3gs

    msaada nimesahau passcode kwenye cmu yangu xaxa kuna uwezekano wakuirudishia ios 6.1.6 ndiyo iliyo kuepo nafkr
  7. T

    Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    Kuflash Cmu ndoo kupojee na restore setting inakuaje? Jee kwa wale ambao password ya cmu kwa hawazjui hzo code zinafanya kaz? Nielimisheni hapo kwenye kuflash cmu n nn plz?
  8. T

    Dell Optiplex GX620 Msaada

    Asante bro tatizo kumbe lilikua RAM.
  9. T

    Dell Optiplex GX620 Msaada

    Niaje? Dell Optiplex GX620 Ukiiwasha inawaka lakini inaonyesha rangi ya Orange huku hikifatiwa na beep inayo piga mara 3 na kwenye Screen haionyehi kitu chochote. Nilipo ifungua nikagundua kama POWER SUPPLY inawaka baada ya sec chache FENI ya POWER SUPPLY inajizima, POWER SUPPLY...
Back
Top Bottom