Search results

  1. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Guys I have been contacted by the bank today na wameniambia suala langu liko kwenye hatua za mwisho za marejesho na huenda fedha yangu ikarudi leo, japo majibu kama haya nafikiri ningeyapata tangu awali ingekuwa vizuri zaidi maana ningejua muendelezo wa suala hili kuliko kukaa kimya na kutojibu...
  2. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Nimewasiliana nao hadi nimechoka sasa ni mwezi mmoja na siku kadhaaa hamna mtu yeyote aliyenipa hata jibu kwamba nisubiri au kunajambo fulani linafanyika, hiyo email yao kama ungeweza kuona ningekupa email yangu inbox uone kuna email zangu zaidi ya saba nimewaandikia hakuna jibu wala maelezo...
  3. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Poa mkuu hamna shida
  4. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Mkuu asante sana kwa maelezo ya kina
  5. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Mkuu hiyo ya madeni hata mi ilinishangaza sana unakuta akaunti ina negative (-) salio unajiuliza imekuwaje tena? Kwani Benki inaruhusu utumie salio ambalo hauna kwenye akaunti? au mitambo yao huwa inakorofisha?
  6. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    ngoja wengine wakujibu maana naona unatafuta kiki isiyo na sababu
  7. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Hata mi nafikiria kuhama ngoja wanilipe hela yangu kwanza........Benki imeanza kuwa ya hovyo kabisa yaani ukikaa kimya hela hairudi sasa kwanini Benki ikae na hela za wateja ambazo ziko directed kwenye akaunti ya mteja?
  8. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Tulia mkuu paypal ni gateway labda kama hukuelewa basi bado kuna nafasi ya kueleweshana tu.
  9. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Wahuni sana maana wana kigugumizi sana kurudisha hela, hapo hapo ukiwauliza wanasema eti lazima tupate ushahidi kama kweli seller amerudisha. hata mi najiuliza kwanini wasiweke hela moja kwa moja kwenye account?
  10. rkgx

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Natumia huduma ya kadi kufanya manunuzi online na kwa muda mrefu nimekuwa nikinunua vitu online kupitia paypal (gateway) lakini huwa inatokea muda mwingine nikanunua kitu halafu seller akashindwa kuleta nafungu kesi paypal na baadaye seller anaamua kunilipa (refund) lakini cha ajabu nikishalipwa...
  11. rkgx

    Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    Mwl.RCT hebu ni-pm pia maana hawa jamaa wanamaliza salary zetu.
  12. rkgx

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Kibaya zaidi wanaweka details za mtoto humu huu ni udhalilishaji na wanakiuka haki za watoto. Hivi details za mtoto wako na kadi zake za clinic zikiwekwa hapa wewe utafurahi? tuwaheshimu watoto, yule dada aliyewasema watoto wa Obama ali-resign do you know why?acheni cheap politics wasemeni...
  13. rkgx

    Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

    Issue hapa ni kwamba ndoa na wazungu ni ngumu mno kutokana na tofauti za culture na siyo stereotypes. Mwanamke wa kitanzania hata kama hamuelewani na mmeachana lakini bado anakuwa na ile heshima kwamba yule ni mzazi mwenzangu, na hatokunyang'anya watoto kama wazungu wanavyofanya. Kuna case moja...
  14. rkgx

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Mi nafikiri kuweka details za mtoto na picha yake humu kwenye mtandao ni unyanyasi kwa mtoto. Wewe uliyepost hizi picha hakupaswa kuweka hizo details kwani ni udhalilishaji na unakiuka haki ya mtoto ambaye hawezi hata kuji-defend. Nashangaa mod kwanini ameacha taarifa hizi ziendelee kukaa hapa...
  15. rkgx

    TAMISEMI yamuumbua Nape, yatangaza Matokeo ya awali ya Uchaguzi Serikali za Mitaa

    80%-33%= 47% hizo ndizo asilimia halali alizopata ccm kwenye uchaguzi na ukitoa asilimia za vitongoji utajua kwamba mchwa anatafuna taratibu nguzo za nyumba ya ccm ila kwakuwa cc sio watu wa kukubali ukweli tunaendelea kujipongeza na tutazinduka siku nyumba itakapoanguka.
  16. rkgx

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Tamisemi yasema ccm inaongoza kwa 80% na kati ya hizo 30% ni mapingamizi ambayo wamepita bila kupingwa.
  17. rkgx

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mutakyamirwa kuna halmashauri nyingine hazikufanya kabisa uchaguzi kwa mfano Kaliuwa mambo hayakuwezekana kabisa, halafu hizo sehemu nyingine watendaji warikoroga uchaguzi wenyewe na kusababisha vurugu mwishowe uchaguzi kuahirishwa. Sehemu nyingi waliposimamia vizuri hata kama ccm walishindwa...
  18. rkgx

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Rweye hawa uteuzi wao umetenguliwa, Mkuranga, Kaliuwa, Kasulu, Serengeti, Sengerema na Bunda. hawa wamesimamishwa ili wachunguzwe kwanini waliharibu uchaguzi, Hanang, Mbulu, Ulanga, Kwimba na Sumbawanga. hawa wamepewa onyo kali, Rombo, Busega na Muheza.
  19. rkgx

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Rweye bado sijapata majina but habari za uhakika ni kwamba watano wamesimamishwa nikipata majina nitatupia hapa.
  20. rkgx

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Breaking news: Kimenuka wakurugenzi watano wamesimamishwa kwa kuvurunda kwenye Uchaguzi wa S/M.
Back
Top Bottom