Search results

  1. P

    Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

    NDOA ni taasisi inayopunguza stress, vifo na magonjwa. Pasipo ndoa hakuna taifa, familia, serikali, dini. amri ya Mungu tuzae na kuongezeka na kutawala vyote. Miss chagga hivyo vimeo vichache kwa sample yako visikukatishe tama. Ndoa ni tamu aisee usiseme....Nakuonbea uwe na ndoa nzuri (heaven on...
  2. P

    Wazazi wangu wamenivunja moyo kwa kumkataa mchumba wangu

    Pole sana kaka. je wazazi waliongea wakiwa ok au bia ndio ziliongea. Mzazi mwenye hekima hawezi kuongea namna hiyo kwa mtoto wa mwingine unless unawasingizia. Ushauri wangu wafuate tena katika mazingira tulivu ongea nao kwa hekima na staha, wape shule taratibu.
  3. P

    Watoto wa miaka mitatu boarding Tanzania

    tuko pamoja Sonia. mtoto anatakiwa apate malezi na mapenzi ya wazazi wake. sishauri kabisa mzazi kufany jambo hilin unapoteza kabisa mahusioano ya karibu na mtoto..then baadae akikususahau au kutokuwa na muda nawe wala usijilaumu. zaa wewe lea wewe....usikimbie majukumu mzazi
  4. P

    Mkasa ulionikuta COCO beach usiku

    ni kweli kuna kauzembe hapo tra, hata mimi nilirudi na lesni yangu maana hawakunidai...
  5. P

    Mapenzi yanauma kuliko kufukuzwa kazi, au kufanya kazi alafu ukazulumiwa, nisaidieni wana jf pls

    bro jichunguze kwanza wewe, unaweza kuwa tatizo kwa wife wako kwa tabia za kukera na yawezekana amekuonya amekueleza muda mrefu nawe haubadiliki. maamuzi ya kuachana sio mazuri ...yaweza kuwa hasira/emotions za muda. pata muda wa kutulia. angalia mustakabali wa watoto pia waone viongozi wa...
  6. P

    Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Masikini Ole Sendeka haya matokeo yamemuacha UCHI WA MNYAMA, Sijui ataweka wapi USO wake kwa aibu hii?!! Hongera sana mh. Ole kwa kupambana hadi ulipo kisiasa...Uso wake uko ktk sebule zetu (tv) kuliko hao wenye Phd/first class. ole is risk taker wasomi wengi so analyitical kila kitu analysis...
  7. P

    WORLD VISION ni shirika la wachaga??

    hili ni shirika la kikristo lililoanzishwa na Mchungaji kwa ajili yakusaidia jamii. Policy yao iko wazi kuhusu ajira lazima uwe committed Christian ( sio mkristo mlevi, muhuni, mwizi na sifa zake zinajulikana) kwani uuliza pia reference toka kwa . mchungaji wako au kiongozi wako wako wa kanisa...
  8. P

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Safi sana niko nyuma yako mkuu ngoja nimaloze kusoma Malafyale ubarikiwe sana kwa kutuhamasisha. hii shule imekuja kwa wakati.. kwa sasa naona nisifanye tena over analysis muhimu ni kuchukua hatua. Fursa za kilimo na ufugaji ni nyingi sana Tanzania vijana tuzichangamkie mapema kabla hazijaja...
  9. P

    Naombeni sili ya mafanikio.

    hata kama unataka degree ya SUA bidii yako tuu, hakuna lisilowezekana chini ya jua. weka bidii sana na utafikia mbali
  10. P

    The best short-time Guest House in Arusha

    aziniye na mwanamke hana akili kabisa.....uchafu
  11. P

    Sifa za Binti wa kimeru

    ]Wana maadili,kifupi wife material ila wana hasira sana ,wanajiamini,wakorofi ,ukimkosea anaweza akakuchomea nyumba ni hvyo hao ni mashost zang sana nakubaliana nawe on positive point above.. nyongeza ukimpata bint wa kimeru mafanikio kimaisha yako mlangoni ww tu uyazuie kwan ni wachapakazi...
  12. P

    New palm tree resort bagamoyo ni mchungaji rwakatale na bia inauza

    mwekezaji wa ndani..kkwan kanisa au mchungaji haruhusiwi kuwekeza katika eneo hilo. thanks kwa taarifa ili tukifika Bagamoyo tupate sehemu murua yakupumzika.
  13. P

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Naona unafanyia makampuni ya bia kampeni humu. kwangu hakuna haja yakusubiri utafiti wowote hapa naona unahamasisha ulevi kwa dada zetu mnaotafuta watoto. Msidanganyike na uongo huu, Mungu atawasaidia kuwapa watoto wazuri kwa wakati wake. zab 120:01 katika shida yangu nalimlilia Bwana naye...
  14. P

    Mwigulu Nchemba na BOT hatimaye na EPA

    napita tu....nitarudi mkirudi hapa na data zenye kueleweka za sakata la EPA, TWIN TOWER ECT
  15. P

    Girls girls girls mhhh i have your attention now ( no men please :d)

    issabela unasema kweli kabisa au bado haujayavaa mapenzi then mkazoeana ... Mungu akusaidie iwe hivyo
  16. P

    Nifanye nini na huyu mzee jamani?

    mpangie ratiba yakuongoza ibada ya jioni leo( night glory)... asome biblia....aimbe mapambio...na kusali iliku prove kuwa ni mchawi au la. then rudi hapa utupe majibu option nyingine; piga maombi ya nguvu hapo kwako using Jesus name, au alika mtumishi wa Bwana apige maombi ya nguvu... jipe moyo...
  17. P

    Eti kuna jamaa kachafua mboga iringa?

    hii kunyima wengine raha ya mnyama na kuharibu soko la ndani kwani mnakula mbichi au mnachoma, kuchemsha au kukaanga? so nadhani virusi vitakuwa vime dead ikipita katika moto mkali. naomba ukiwa unapata kitimoto usali kwanza then jimwage
  18. P

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    YESU KRISTO NI MFALME WA WAFALME hana sababu yakutafuta kura yako....tayari anamiliki na kutawala...ndani yangu na wengine wanaomwamini....kwa hiyo kuhusu kushindwa hilo sahau...Yeye ni mshindi tayari UWE MAKINI NA COMMENT zako kwa leo naomba Mungu akusamehe
  19. P

    Mwanamke mwolewaji huyu hapa!

    somo tosha kwa mabachela na wadada walio singo wanaopenda kuingia ktk ndoa
  20. P

    Jaji mstaafu hajui TZ ina mikoa mingapi?

    nami nikiwa waziri mkuu naongeza mkoa mwingine wa arumeru, rombo, kinampanda etc si tunataka kila aliye kiongozi awe anapewa zawadi ya mkoa....sumaye...manyara...pinda...katavi....lowasa...monduli/arumeru..... nini kipaumbele chetu kujiletea maendeleo
Back
Top Bottom