Search results

  1. badiebey

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Ningekuwa mwanamke mpenda hela nisingemkataa mwanaume anaeendesha Range..ipo siku najua Mungu atanisaidia
  2. badiebey

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Wanasema hamna any big problem..mmoja alitaja sometimes napanik sana,kama binadamu it happens ndio,nani asie na mapungufu, najitahd kurekebisha
  3. badiebey

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Massage sio ya kufanya daily,ni once in 3 months labda mana mi mwnyw niko bize na kazi, Anyway haikuwa rizq
  4. badiebey

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Ungejua 6 months mtu kimya kwako bila kukueleza nini kinaendelea kama binadamu nilishikwa na hasira
  5. badiebey

    Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Hi all, Ahsanteni sana kwa comments na ushauri, walioninyali pia nashukuru mana yote maisha Naendelea vizuri, sijawa na mahusiano mapya ila nina ushindi ktk jina la Yesu maana nimegundua tatzo ni la kiroho na limenitesa miaka mingi sana na ndo Naendelea kulifanyia kazi.. Nawashukuru wote...
  6. badiebey

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Af majority ya wanaotoka povu hawajoa,ngoja tuone wataoa nini Ni kama vile mwanamke kutaka aolewe na mwanaume mwenye maisha ya juuna vigezo lukuki lakini wangapi wanawapata???.
  7. badiebey

    Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Mtu ana watoto wapo sekondari una expect nini Sababu alotoa ni genuine angebainika angeachwa kweli
  8. badiebey

    Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Mwanamke yapaswa aombe samahani tena ilee kutoka moyoni kabisa Tungeachana kwa uongo mmoja tu hakuna ambae angekua kwny ndoa bado Uongo upo but angalia tu ur level of tolerance Wamekutana ukubwani madudu na siri ni obvious
  9. badiebey

    Jini mahaba na virusi vya UKIMWI

    Unajuaje anaingiliwa na jini???.
  10. badiebey

    Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Kumpata mwenzi bora ni kazi sana,ukimpata mwenye ahueni unamuenzi
  11. badiebey

    Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Waendelee kukaa huko huko wakati hui mwanaume atafakari nini cha kufanya Asivunje ndoa ilhali wanaishi vzuri na mwanamke ni mtu mzuri
  12. badiebey

    Msichana anayevuja damu machoni

    Oh God help her jmn dah matesoo
  13. badiebey

    WanaJF ingilieni kati huu msala

    Nenda kampuni B,hamishia mkopo uliza benki wanafanyaje
  14. badiebey

    Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Maisha yaendelee,hakuna binadamu mkamilifu Hao watoto wanaishi kwa nani?
  15. badiebey

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Maisha tu si unajua,Uko powa lakini
  16. badiebey

    Ukiolewa bila bikra ujue mwenzio anakuchukulia ulikuwa malaya

    Sina bikra ntajitokeza vipi mbele ya makombora yote haya jukwaani hahahahah
Back
Top Bottom