Search results

  1. Zanzibar-ASP

    Wanayo yapitia Watoto/ Wanafunzi wa Mtaa wa Mbopo, Mabwepande ni huruma

    Tunapenda sana kumshukuru mama Samia kwa hili, bila yeye haya mafanikio yasingekuwepo. CCM oyeee.
  2. Zanzibar-ASP

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Kumekucha, tena kumekucha sana. Hii ngoma omeanza kuvuma, ikiendelea hivi hivi itapasuka.
  3. Zanzibar-ASP

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Hii habari imekaa kishabiki kuliko uhalisia, upande wa pili sio habari za kushabikia ikiwa mnapenda kuongeza mapato ya kitalii. Kama ni kweli kuna tukio kama hilo, suluhisho lilikuwa majadiliano na kulimaliza kidiplomasia. Sio sahihi sana kuweka itikadi kwenye biashara.
  4. Zanzibar-ASP

    News Alert: Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Iran ana mikwara mingi lakini hana ubavu wa kuendesha vita kubwa, nzito na muda mrefu kwa sababu hizi. 1. Ana matatizo makubwa mnoo ya kisiasa ndani ya taifa lake. 2. Hana uungwaji mkono kutoka taifa lolote kubwa lenye nguvu ya kijeshi. 3. Waarabu wanaomzunguka mpaka sasa wameshindwa kumuunga...
  5. Zanzibar-ASP

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Tayari miji saba ya Iran imepokea kipigo cha haraka haraka usiku usiku kutoka kwa mazayuni. Israel hapendi kucheka cheka na kima ya kiarabu.
  6. Zanzibar-ASP

    News Alert: Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Hayo ni maneno ya serikali ya Iran kujifariji na kuwatuliza raia wake, taarifa zisizoegamia upande wowote zinasema miji saba ya Iran imepokea kichapo cha makombora ya chap chap na miundo mbinu kuteketea.
  7. Zanzibar-ASP

    News Alert: Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Hakuna cha vita mbaya wala nini, Iran anakwenda kuchakazwa na dunia itaiomba Israel itulize mzuka.
  8. Zanzibar-ASP

    News Alert: Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Hakuna mtu hapa anamtukuza Israel lakini tunasema ukweli dhidi ya propaganda za waarabu weusi wa Buza. Sasa Iran waliyekuwa wanamtukuza kaanza kupokea kipigo cha chap chap.
  9. Zanzibar-ASP

    Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

    Halafu hiyo exposure itamsaidia nini ikiwa Yanga hawana mpango wowote wa kumpeleka mbele zaidi ya Yanga?
  10. Zanzibar-ASP

    Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

    Kwa mchezaji wa kitanzania, Yanga na Simba ndio dili la juu la mwisho la kulamba, hakuna kusonga mbele zaidi. Kwanini? Simba na Yanga hazina maono yoyote ya kumfanya mchezaji asonge mbele. Hali ni tofauti kabisa kwa Azam ambapo ni rahisi mnoo mchezaji kusonga mbele zaidi kwa kuwa wana huo...
  11. Zanzibar-ASP

    Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu ili wamlaghai na mikataba ya kindezi ya kugawa kama pipi rasimali za watanzania kwa wageni. Hakuna uchumi wowote alioufufua hapa Tanzania. Japokuwa amefanikiwa kuifungua nchi iliyokuwa kifungoni chini ya utawala kandamizi wa Magufuli na Samia akiwa makamu...
  12. Zanzibar-ASP

    Netanyahu- Israel itajifanya maamuzi yenyewe jinsi ya kulipa kisasi

    Israel ajaribu mara ngapi kuipiga Iran? Hivi wewe hujui, Ubalozi wa Iran kule syria kidiplomasia ni sehemu ya nchi ya Iran? Israel alitandika kombora moja na kuteketeza makamanda na maafisa saba wa Iran. Iran ilitaka kuchokozwa mara ngapi?
  13. Zanzibar-ASP

    Netanyahu- Israel itajifanya maamuzi yenyewe jinsi ya kulipa kisasi

    Kanuni ya Israel ni ile ile, ukiijaribu kuishambulia itakujibu kwa kukushambulia ikuangamize kabisa. Israel sio nchi ya kuchezewa. Kima wa kutetea magaidi andaeni kabisa maandamano na mabango ya Pray for Iran
  14. Zanzibar-ASP

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Hakuna ubishi, ukweli ni kwamba jaribio la Iran kurusha makombora 300 kuelekea Israel kwa 99% halikufanikiwa, makombora mengi yalizuiwa, huo ndio uhalisia. Mambo mengine yote ni story tupu za kufarijiana.
  15. Zanzibar-ASP

    Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

    Mleta mada ninakuhakikishia, ikiwa vita ya Iran na Israel itashika kasi, hakuna taifa lolote la kiarabu au lililopo mashariki ya kati litasimama kuisaidia Iran moja kwa moja. Upande wa pili hakuna taifa lolote litakaloguswa na chochote kutoka Iran ikiwa litasimama na Israel.
  16. Zanzibar-ASP

    Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

    Mleta mada nawe anza kujitafakari. Unaunga unga mnoo vijihabari vyepesi ili kutengeneza dhana fulani kuhusu ukubwa wa Iran au unyonge wa Israel. Kwa mfano katika hilo la Jordan, wewe ulitaka Jordan asemeje? Katika mazingira yoyote ya vita isiyokuhusu (lakini yenye kukulazimisha kusaidia upande...
  17. Zanzibar-ASP

    Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Hakuna namna Iran ijiandae kupigwa tu.
  18. Zanzibar-ASP

    Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kama ni mechi ya mpira, Mpaka sasa, Israel 3: 0 Iran. Israel alituma kombora moja tu na kutua moja kwa moja kwenye ubalozi wa Iran uliopo Syria na kusambaratisha makamanda na maafisa wa juu kabisa wa Iran wasiopungua saba. Huu ulikuwa ni uchokozi wa hali ya juu kabisa kuweza kuamsha hasira za...
  19. Zanzibar-ASP

    Defense Sector Panicking:Israel is defenseless against Iranian Missiles

    Kwa akili ya Mzayuni atarudisha makombora, huwa akisema jambo basi ujue atafanya, hanaga tabia ya kusema sema, ana tabia ya kusema mara moja na kufanya mara kumi. Jipe muda tu.
  20. Zanzibar-ASP

    Kwanini mtu akiwa CCM mnamuita chawa?

    Tunamuita au anajiita Chawa? WanaCCM wenyewe walijipa hilo jina, wakaona fahari, wakaanzisha hizo harakati. Nje ya mada. Nimeona picha hapo, uko vizuri, ni chombo, umependeza.
Back
Top Bottom