Search results

  1. Zuberi Magoha

    Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!

    Pasco I can see your pint ni sawa vyovyote vile itakavyo kuwa haki ni haki iwe kwa Zitto au Chadema itakuwa haki lakini najiuliza baada huu mtifuano na Zitto kwa mfano anashinda anapewa vyeo vyote je atakaa ofisini Chadema kama kiongozi na viongozi wenzake au yataanza tena haya yaliyo anza hadi...
  2. Zuberi Magoha

    Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko Shari Kamili! - Kuepusha Shari, Kubalini Kosa!

    Nataka kuuliza kitu kidogo .Zitto ni ndugu yangu , je Zitto umesha wahi kufika kwenye ofisi ya Chama chako kuomba hukumu ya mashitaka yako ukanyimwa ? Kama hili umelifanya in person ukanyimwa basi Chadema wana makosa .
  3. Zuberi Magoha

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Hii ni Kiingereza ? Hata kama nimesoma zamani .Wapenzi wa Zitto mmesahau tena maana mlikuja na ugaidi Jaji akakataa leo mnarudi tena kwa style hii ? Nyie na Slaa na Mbowe tu muda wote .
  4. Zuberi Magoha

    Ujio wa Obama Ilala walitumia 350mn kwa usafi

    Wadau ,muda huu katika ITV kikao cha RCC pamoja na kupiga marufuku ufungaji wa magari hovyo mjini wamesema safisha Jiji ondoa omba omba ili Ombana aone mji safi Ilala pekee walitumia 350mn .Sasa uchafu umezagaa na Ombaomba ka zamani .Leo Umeme juu , gas juu , kodi kibao , CCM wanatumaliza .
  5. Zuberi Magoha

    Wafuasi wa zitto na mbowe kahama nusura wazichape baada ya hukumu ya mahakama kuu

    Zitto ahutubie kama nani ? Hana cheo ni mwanachama tu .
  6. Zuberi Magoha

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Kashinda anarudi kuwa Naibu Katibu Mkuu au kashinda kwamba hatafukuzwa Chadema ?
  7. Zuberi Magoha

    UDSM yaongozwa na Mstaafu

    Serikali ya CCM , unaye lalamika ni CCM , anaye wateua ni mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais wa Nchi yangu .Ulaji bwana kaka .
  8. Zuberi Magoha

    Wenye akili CHADEMA wapo kimya

    Chadema hawezi kuwa mtu kama wewe.Kama hukuweza kuona ujinga wa Zitto kuazia miaka kadhaa na mwenendo wake ndani ya Chama kuweka makundi more than 2 times akina Shonza , mikoani leo kundi la Kitila na hata kuhamishia ofisi facebook basi una akili ndogo sana .Wabunge wanao ongea wana mandate ya...
  9. Zuberi Magoha

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Zitto ni mtu wa matukio alisha kataa kwamba hajawahi kukutana na Ben lakini pia Kitila anasema Zitto hakujua mipango na akina Shonza nao watasema hawakuwahi hata kumwita Prezidaa.
  10. Zuberi Magoha

    Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

    Kweli Nape nimeamini una akili ndogo maana watu wanakusema mie huwa siwaamini .Zitto na wewe kuna tofauti yeyote ? Zitto kazusha mengi mno ndani ya Chadema na hata nje .Halafu kweli kwenye mambo serious unasema Chadema ni watai wako ? Kivipi ? Kumbe CCM mnalete utani kwenye maisha yetu ? Na wewe...
  11. Zuberi Magoha

    Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    Miaka kadhaa mtoto wa dada yangu amekuwa akisema hataki tena siasa baada ya kipindi chake cha miaka 10.Watu wakaanza kumwamini akaja akageuka ghafla kwamba aunataka Urais wa Nchi ikawa njiwe akaamua kuutaka uenyekiti wa Chadema .Akwia Tabora akahutubia akasema hawezi kukaa pembeni na kuwaacha...
  12. Zuberi Magoha

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    Kweli ukisha kuwa mjinga na upumbavu unakutawala na uchumia tumbo unakuongoza.Best kwenu ni kumwambia Zitto aanzishe Chama chake cha siasa mwende huko .Sasa kuratibu maandamano unatumia muda na gharama za nani ? Ili iweje ? Mahakama impe Zito ushindi au imnyime Chadema hatakiwi yeye aende tu .Si...
  13. Zuberi Magoha

    Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    Zitto msomi kuliko wote Tanzania ,mjuzi wa uchumi pekee akifuatiwa na Mwigulu, Zitto mjivuni , mkabila, Zitto asiyekuwa na adabu hadi kununua vyombo vya habari , Zitto mpenda attention kila kona unategemea nini na wakati anadhinfa fb na twitter mshauri wake ni Omari
  14. Zuberi Magoha

    Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    Na leo wapenzi wake wengi walikuwa wahuni hata from the look pale mahakamani .Na walipangwa kijinga ukiangalia Chadema walikuwa watu wazima wengi na si watoto kama ilivyo kuwa kwa zitto .
  15. Zuberi Magoha

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    In the end Zitto anakufuzwa Chadema na nasikia anaingia CUF kama hutaki mchukue ukae naye kwako Chadema no hana heshima .Mimi December 2012 nikiwa na Mukono alithibitisha kumpa zitto gari na wassira akiwa amekuja kuomba pesa pale .Alithibitisha kuwa nunulia madiwani wake pikipiki wakiwamo wa...
  16. Zuberi Magoha

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Zitto kaanza kuuza Chadema muda mwingi hadi watu wanafikia hapa ni baada ya kuvumilia sana .Ztto alidhani hakusiki na akawa anajifanyia mambo akidhani ana watu wengi kumbe alikuwa mpuuzi .Mwache aende zake na wewe kura zako wape CCM .Ukaguzi wa CAG umekuja juzi Zitto akiwa katia harakati za kuia...
  17. Zuberi Magoha

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Mnapoteza muda zitto ni arrogant sana na hana heshina hana siri yeyote ya Mbowe sasa anafukuzwa aziseme tu .Mlisema ana majina ya waiba pesa leo kageuka .Hana lolote acheni umpa kichwa .Siri za mbowe yeye amekuwa mke wa Mbowe ?Ujinga huu tuliambiwa kuna mtu ana siri nzito ofisi ya katibu mkuu...
  18. Zuberi Magoha

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Mukono anajua ukweli mojawapo ya gari alilopewa Zitto no Totota double Cabin na hata hapa jf it was reported mapema sana juu ya Zitto kupewa gari na mkono .Haya mengine ni siasa
  19. Zuberi Magoha

    Kuna msemo wa 'Kosa moja halimfukuzi mke' Vs kutimuliwa kwa Zitto na Wenzake.Je, ni sawa?

    MKuu busara njema na ya haraka iliyotumika ni kumuondoa Kitila na mwenzake na Zitto yuko njiani .Ni busara sana badala ya kuendelea na Zitto mtoto wa juzi anatukana watu wazima na kuzua uongo.Zitto anataka kuia Chadema na wala hana ugomvi na Slaa wala Mbowe .Sasa busara ni hiyo .
Back
Top Bottom