Kama alipata vibanda wakati akiwa mwenyekiti wa halmashauri hilo ni kosa je kama alikuwa navyo kabla hajawa mwenyekiti ni kosa pia? Kumbuka madiwani na wenyeviti si waajiriwa wanaweza kuwa ni wafanyabiashara kabla hawajawa wenyekiti, ikitokea kuwa alikuwa navyo kabla hajawa mwenyekiti alitakiwa...
Sidhan kama upo sawa kimtazamo hapo. Maduka huwa yanajengwa kwa nguvu za wananchi kwa mkataba maalumu kuwa baada ya muda fulani yatakuwa mali ya halmashauri husika baada ya kumalizika kwa gharama walizotumia kujenga Maduka husika. Kama mmiliki alijenga kibanda chake wakati huo na gharama...
Hapana walikataa kupokea kila mara walisema watakuja eneo husika na kupokea pesa na fomu mpaka muda ukaisha wa Phase I, then ikapita na Phase II na hii Phase III ndio wakasema tujiunganishie kwa gharama zetu za kawaida na sio REA tena
mpaka leo kimya hakuna aliyetokea, sana sana nilipofika kwa mejeja wa TANESCO USA RIVER wanasema sisi ambao hatujaunganishiwa imekula kwetu inabidi tuunge kwa gharama zetu wenyewe na walikuja kutoa nguzo zilizokuwepo wakisema kuwa ziliwekwa na vishoka maana hazikustahili kuwepo hapo zilipokuwa...
hapo ukiangalia wastani wa wote hapo juu inaonyesha kuna tatizo mahali maana jumla ya wote kukubalika kwao kama group moja unapata 289 na wastan wake ni 32. Bila shaka jambo hili linatakiwa kufanyiwa kazi sana maana kumuamini Rais as individual na makamu haitoshi kuleta maendeleo au imani...
Hao ni wa kuwaacha kama walivyo maana walikuja katika eneo la kikatiti wakaamasisha watu na tukaitikia wito mwaka 2016 tangu awamu ya kwanza ya umeme wao mpaka leo hatujaona surveyor wala nini ukienda ofisini kwao majibu hayaeleweki mpka tumeamua kuwa wapole kusubiri siku wakiamua kuja kufanya...
Hapo naona kuna jambo limejificha na lina double effect, kama raisi ataongezewa mpaka miaka saba ni automatic wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa na vijiji nao wataongezewa miaka saba pia. Inawezekana mtoa hoja hana uhakika wa kuendelea kuwa mbunge kwa muda mrefu na anatumia njia hiyo...
Hapo naona kuna jambo limejificha na lina double effect, kama raisi ataongezewa mpaka miaka saba ni automatic wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa na vijiji nao wataongezewa miaka saba pia. Inawezekana mtoa hoja hana uhakika wa kuendelea kuwa mbunge kwa muda mrefu na anatumia njia hiyo...
Mimi binafsi nawalaumu Polisi na ukipata tatizo linalohusu Polisi ndio utaelewa. La msingi wanatakiwa kujiangalia utendaji wao na kama wanafuata taratibu walizojiwekea na si kufuata maslahi binafsi
Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo
Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo
Siku za karibuni hapa nimepata mchanganyiko sana juu ya mchakato wa katiba mpya unaoendelea Dodoma. Nimeona kuwa jambo linalochukua muda mwingi wa viongozi wengi wa chama na serikali kuzungumzia akidi ya wabunge kwa pande zote za Muungano kutimia au kutotimia. Je ni kweli Sitta anaongoza bunge...
Pole sana nami nipo kwenye hicho kilio lakini yangu ni kali zaidi ya kwako nilifanyiwa survey May 2002 na kupata barua ya makadirio ya gharama mwezu MArch 2013 baada ya kuchakachua na kulipa tarehe 10/03/2013 na mpaka leo tunavyoongea watu wanao wekewa umeme hapa arusha ni wale waliolipa tarehe...
nadhani mtoa hoja anatazama upande mmoja na mwingine haangalii. Ili haki itolewe inatakiwa ni lazima kuwe na pande mbili ya mlalamika na mlalamikiwa na wote wanatakiwa kutoa hoja juu ya jambo lililoko mbele ya mahakama na kutoa haki baada ya kupima pande zote mbili. Kwa sasa ni tofauti serikali...
Baada ya kusomwa kwa bajeti imenifanya nitafakari sana mambo kwa kina, wiki iliyopita Zitto Kabwe alisema kwamba kwa sasa kila Mtanzania aliye hai anadaiwa jumla ya kiasi Tzs. 488,888 ilinifanya niende mbali zaidi ya maneno hayo. Kwa kuangalia bajeti ya 2012/2013 nimeamua kuifafanua kwa urahisi...
Swali la kujiuliza ni kwamba nani katengeneza hiyo picha? Ni cdm au ni voda? Nani katoa hiyo namba ni voda au cdm? Inawezekana kwamba hivyo vyote vimefanyika makusudi na voda ili kuchafua hali ya hewa kwa kuwa alama ya cdm inajulikana na hiyo kwenye picha baadhi si za cdm. Hapo inabidi kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.