Search results

  1. whitehorse

    Mwenye tuhuma za kweli za jinai kuhusu Paul Makonda amfungulie kesi Mahakamani. Hizi porojo na kulishana upepo itoshe sasa

    Tuko Happy Hour ya Makonda hivi Makonda ndiyo nani kwani ? 🤣🤣🤣
  2. whitehorse

    Nilivyonusurika kutapeliwa Mawakala kuweni makini

    Na zile elfu kumi kumi za soda wamezijumlisha kwenye hilo begi la mapesa 🤣🤣🤣hongera kwa kuponea chup chup
  3. whitehorse

    DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Huu ni mwaka 2023 . Hao wafame wameishia wapi na card zoa 😂😂😂
  4. whitehorse

    Rambo nyeusi zimetoweka zimekuja rambo za blue 😌

    Wana JF , Ninaandika kwa wino wa masikitiko kuhusu hii mifuko ya nylon (plastick) kwa sasa inajulikana kama vifungashio . Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)wamefeli kabisa kulinda mazingira kwa kuruhusu vifuko hivyo kuendelea kutumika kwa kiwango kile kile cha rambo nyeusi "vifuko laini"...
  5. whitehorse

    Utatoka na nani wa JF?

    Nasubiri kutajwa huku nikiwasiliana na mwanasheria wangu kwanza 😂😂😂😂
  6. whitehorse

    Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake

    Wajitahidi kuhoji hao maiti hadi wajibu hayo maswali yao kama yatawasaidia
  7. whitehorse

    Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake

    What if wale waliozidi ni waokoaji au ni watu walikuwa ziwani wakapigwama ndege ikidondoka ? Sioni kama abiria wawili kuzidi tena wakiwa kwenye kundi la marehemu liwe na uzito sana kuliko kukosekana kwa vikosi vya waokoaji wakitaalam hatua chache tu kutoka. Airport. Huu ni uzembe tunaondelea...
  8. whitehorse

    Profesa Mkenda akana kuwa na mpango wa kumuweka 'Mchaga' kwenye Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Kwani mkurugenzi aliyepo sasa kabila lake halijachamgamka 🤣🤣🤣🤣
  9. whitehorse

    Rais Kagame atuma Salamu za Rambirambi

    Tena kuna waliotoa pongezi kwa wananchi waliofika kutoa msaada . Hata mimi nawaoongeza wananchi kweli kabisa na pole naitoa kwa wananchi wenzangu tumepoteza watu muhimu sana kwenye hii jamii
  10. whitehorse

    Doreen Mrema afunguka mazito!

    🤣🤣😂
  11. whitehorse

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Taarifa mheshimiwa Spika....🤣🤣🤣🤣waheshimiwa Mama anaupiga mwingi..... ..... wanagonga meza tu imagine kule ndani kuna TelaTela. Bogus kabisa ataelewa nini kwenye haya makulaji ya Mwigulu . Asante mkuu Martin Maranja Masese
  12. whitehorse

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Tena ukimpata mganga mwambie amtundike miguu za kuku wa kienyeji kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  13. whitehorse

    Rais Magufuli, waagize TAKUKURU waimulike Maxmalipo na waliopo nyuma ya kampuni hii

    Ameshadakwa huyu MaxMalipo kwa sasa yuko mahabusu amehujumu uchumi ndiyo kesi yake, lisemwalo lipo. 😏😏😏
  14. whitehorse

    CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

    Nimepiga hodi sana mlango umefungwa nimesikia music kama sound track ya Royal tour sijui umesahau kuzima TV 🤣🤣🤣🤣 nadhani umenielewa. Ukifungua mlango nishtue
  15. whitehorse

    CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

    Ninakutafuta sana tena sana mkuu
  16. whitehorse

    Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

    Shida ya Uchungaji wa kurithi 😅😅😅😅😅
  17. whitehorse

    Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

    Kumbe anae hata mke wooooiiii😅😅😅😅
  18. whitehorse

    Rais Samia anakabidhiwa Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa Ushindi wa Ujenzi Miundombinu ya Usafirishaji

    Sijui amekumbuka kubeba CD za kutosha za Royal Tour akauze huko Accra 😌😌
  19. whitehorse

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Mama amejua kupiga hatua zake vizuri mbele ya dunia amedhihirisha hana baya na upinzani ✔️ Bungeni kuna UVICO 19 . Acha mchezo uendelee. Mama hongera sana unajua haswa kuosha windscreen 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Back
Top Bottom