Search results

  1. COARTEM

    Rais Magufuli, Usiruhusu Hospitali za Rufaa za mikoa kutolewa TAMISEMI

    Vipi Bado unahuo wasiwasi mpaka leo?
  2. COARTEM

    Hospitali za wilaya zitolewe TAMISEMI zipelekwe kusimamiwa na Wizara ya Afya

    Tumeshuhudia mapinduzi makubwa ya Huduma za Afya kwa Hospitali za Rufaa za Mikoa baada tu ya kuhamishiwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya. Sasa ili kuleta tija ya huduma Bora za Afya kwenye Hospitali za Wilaya nashauri Hospitali za Wilaya pia Zisimamiwe na Wizara ya Afya. Hata baadhi ya...
  3. COARTEM

    Ninawezaje kumweleza mtu mwenye shida ya harufu mbaya ya Kinywa bila kumkwaza?

    Mwambie tu kwa upole kuwa kinywa chako hakipo sawa. Akamuone Mtaalamu wa Afya ya Kinywa atamsaida kumchunguza na kumpa tiba stahiki ya harufu mbaya mdomoni
  4. COARTEM

    Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Wewe huo ukweli uliutoa wapi?
  5. COARTEM

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    https://youtu.be/Asx7oJOch4A?si=Y_N0ly1iJa3GoYRV
  6. COARTEM

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    https://youtu.be/Asx7oJOch4A?si=Y_N0ly1iJa3GoYRV
  7. COARTEM

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    Kumbe ni UJIVUNI tu...sawa
  8. COARTEM

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    Kwani akiitwa WAKILI kuna shida gani?
  9. COARTEM

    Nini maana ya "Wakili msomi"?

    Kwani kuna Mawakili wapumbavu? Nijuavyo mimi ukimaliza shahada ya sheria (BLL) unakuwa mwanasheria. Ukitaka kuwa Wakili ni lazima uende LAW SCHOOL. Sasa ukimaliza Law school tukikuita WAKILI kuna shida gani? Kwanini mnalazimisha tuseme WAKILI MSOMI? Kwani kuna WAKILI MPUMBAVU? Hebu ndugu...
  10. COARTEM

    Kama Waziri wa Mipango na Uwekezaji anafuata mashirika yasiyokuwa na tija, kwanini haifuti TANESCO?

    Nashauri hili shirika lifutwe kabisa halina faida hata kidogo. Kama ambavyo shirika la elimu kibaha lilivyofutwa basi na Tanesco nalo lifutwe.
  11. COARTEM

    Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Swali la mwisho, kwenu mna wakubwa? Wakubwa wakisema na watoto mnasema siyo?
  12. COARTEM

    Mbona Waziri Dorothy Gwajima yupo kimya sakata la Pauline Gekul?

    Mtoa mada jibu kwanza maswali haya; Jambo hili si ukatili mahala pa kazi? Kwani mhusika wa wizara ya kazi Yuko wapi? Na je manusura ni chini ya miaka 18 Ili iingie sheria ya mtoto au mtu mzima? Je kosa hili ni ubakaji na ulawiti au ukatili kama ukatili mwingine wa jinai? Dorothy Gwajima...
  13. COARTEM

    Nashauri Doroth Gwajima arudi Wizara ya Afya na Ummy Mwalim aende Maendeleo ya jamii

    Tatizo la Tanzania siyo plan, ni uvivu na ukosefu wa moyo wa kazi kwenye utekelezaji na ufuatiliaji wa mipango waliyopanga. Vilevile, ni ukosefu wa uaminifu kwenye raslimali za umma ikiwemo kujali watu. Ingekuwa vizuri hao wanaojua kupanga wakawa na moyo wa ufuatiliaji wa utekelezaji na kujali...
  14. COARTEM

  15. COARTEM

  16. COARTEM

    Nashauri Doroth Gwajima arudi Wizara ya Afya na Ummy Mwalim aende Maendeleo ya jamii

    Jamani tunaye pia: 1. Mhe. Dkt. Alice Karungi Kaijage. 2. Mhe. Kigwangala. 3. Mhe Ndugulile. Dorothy Gwajima nimeona jina lake kwenye Master Programs in Community Service nadhani atafanya majukumu mengine maana kazi siyo afya tu.
  17. COARTEM

  18. COARTEM

    Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

    Wizara ya Afya ina kitengo maalumu kabisa cha TIBA ASILIA na kina Mkurugenzi wake na analipwa mshahara na marupurupu yote ya serikali. Be informed
  19. COARTEM

    Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

    Hivi mnajua kama kuna kitengo cha tiba asili cha wizara chenye mkurugenzi msaidizi eneo husika na baraza la tiba asili na sheria ya bunge? Na wanalipwa mshahara kabisa wa Kodi za wananchi? Na kama kujifukiza huyo Dorothy Gwajima alijifukiza dawa za kujifukiza za taaluma ya tiba asili iliyop...
  20. COARTEM

    Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

    Vita ya korona na misimamo yake ilikuwa vita ya serikali nzima acha kujifanya waziri ana uwezo wa kupanga na kupangua hoja za kitaifa. Sasa kama dunia na hiyo WHO nao kila asubuhi walikuwa na majibu yao ulitaka kwa nini Dorothy Gwajima ashikilie jambo hilo hilo ambalo hata dunia bado haina...
Back
Top Bottom