Mosi, Shambulia HOJA usimshambulie mleta hoja
Usiwafanye wabongo wote wajinga na hawana reasoning
Tunajua FACT na tunajua propaganda za kibiashara
Pili siongei kitu sikielewi bali naongea through experience
Nimekutolea mfano wa jamaa yangu na s23 na mimi mwenye na mke wangu
Nikinunua charger...
Mkuu itoshe tu kusema umekuwa brainwashed na propaganda za kibiashara za kihuni za makampuni ya simu
Unapata wapi ujasiri wa kutetea ujinga kama huo wa uchafuzi wa mazingira?
Ukweli ni kwamba Apple waliopata mabilion ya dola kwa kuuza accessories baada ya kuzitoa kwenye box
Hii ndio sababu kuu...
Wakuu nauliza kwa nia njema wala sio malumbano kuhusu hawa wanaija huko mjini Twitter
Hio bet hapo juu kwanini imefichwa stake?
Sote tunajua mayor ni mdau wa mega odd only sasa inawezekana vipi ukasuka mkeka odd kibao halafu ukistake out came yake ije figure kamili bila vichenchi wala point...
Kama ulistake mia tano na ulikua umpige kama mamilioni ya kutosha hapo naweza angalau kushawishika
Lakini hata stake ya laki win laki 5 Betpawa hawana muda huo mkuu
Hebu weka screen shot hapa tuone mkuu wameogopa ngapi hadi wakuibie
Nimeanza kubet kitambo sana mkuu na Betpawa sijawahi...
Mkuu wewe huo utajiri hauutaki si uwe una copy code zake za miujiza na wewe uje kutoa ushuhuda
Unapoteza nini muda wako kubaki unakopy code za jf zina lost kila siku?
Hivi utapungukiwa nini kufuata code za jamaa ukajiridhisha badala ya kutetea unacho weza kuki prove
Huwa napata shida sana kuwaelewa watu wanao waamini wanaijeria wanavyo fake kutajirika kisa betting na mapicha na maprofile ya uongo uongo huku tweeter
Hata uwe msomi au na akili kiasi gani ku battle na bookies in long terms utaumia tu kwasababu odds zipo against na punter na zina m favor...
Kama kweli huyo demu kadhamiria basi issue imekwisha kua out of control, atakusumbua tena hata ukimpa hiyo hela
Fanya hivi
Kuanzia sasa hakikisha una record kila kitu kuanzia maongezi sms watsap nk ya vitisho vyake ili akiharibu kweli basi nayeye asipone
Anza kumremba kama unataka kukubali ili...
Nilikua nimekaa na mahkaji tunaangalia hii game ilipopatikana penalty nikamwambia kwasababu tu nimebet Man City win basi watakosa ili nikose tu hela
Mara paap holaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.