Nakumbuka ilisemwa kwamba uongozi waliopata kina Katambi na wengine wengi ndani ya Chadema ulikuwa na probation period,ikimaanisha kwamba ufanisi ndo utakao amua either kiongozi aendelee au laa..nadhani huu ndo wakati muafaka so kwa maana ya kutimuana lakini ktk kumsaidia ili mambo yaende.
Wanaonyesha Azam TV live,..kilichonishangaza ni kuona moja kati ya nyimbo ambazo ni kama tunu za taifa letu Wimbo wa Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote,..umeimbwa artificually bila kuzingatia maudhui yake mbele ya raisi,..Basata mko wapi?..am so dissappointed.
Ninatumaini Mbowe alikaa na wenzake muhimu waliokijenga chama pamoja mpaka hapo kilipofika I.e Mzee Mtei,Dr.Slaa,Mnyika,Lisu na wengine kabla ya kufanya maamuzi hayo magumu kwa mustakabali wa chama na taifa..vinginevyo CCM wanayo option ya kumshawishi Dr.Slaa arudi Ccm aende Karatu kugombea...
Tatizo lipo kwa mwendeshaji wa kipindi,anaruhusu wachambuaji kutaja majina ya watu ambao hawapo kwenye mdahalo ili waweze kutolea ufafanuzi wa anayotuhumiwa..tunahitaji waandishi weledi.
I can see mama kutoka Zanzibar akishinda kwa msaada wa kura za kundi la Lowasa,..strategically ccm itakuwa na mgombea weak kabisa,then Lowasa can go to any opposition party na kushinda kirahisi.
Niliposikia tu Prof.Kabudi ameteuliwa na jaji mkuu kuwa rafiki wa mahakama,nilikuwa na uhakika msimamo wake utaegemea wapi,ningekuwa upande wa utetezi katika kesi hii,ningepinga uwepo wa Prof.Kabudi.
Sababu ya kumpinga ingekuwa kuwa huyu jamaa ni mkereketwa wa chama tawala ambacho ndicho...
Kwa kuwa muda uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu ni mchache,na kwa kuwa tume ya uchaguzi ambayo ndiyo yenye dhamana ya kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura imeshindwa kutimiza wajibu wake.
Je waheshimiwa wajumbe hamdhani kuwa sasa ni wakati muafaka wa viongozi wa vyama hasa upinzani kuanza...
Nilipoiona hii habari kwa mara ya kwanza katika vyombo vya habari vya Tanzania,nilistuka sana,kwamba raisi amepewa zawadi ya jezi ya mchezaji wa nchi ya ulaya,..nilijiuliza uzalendo upo wapi?,ni kwa nini wasimpe zawadi ya mchezaji wa Taifa au timu yeyote ya nyumbani?,Katika hali ya namna hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.