Search results

  1. M

    Sugu kuenguliwa kura za maoni

    Wewe ni juha Wa CCM. ulionawapi Mbunge akajenga barabara? taja hata mbunge mmoja Wa chama tawara aliyejenga barabara tangia tupate uhuru
  2. M

    Uvumi na uongo unao enezwa kuhusu Tibaijuka

    huo mgogoro ulikuwa Wa wanandoa? maana naona kaandamana na wanawake tu. mletamada umetumwa. picha na unachotaka tuamini ni vitu viwili tofauti,kajiandae upya uje tena.
  3. M

    Anaye tafuta Rosella (maua ya choya) anipigie

    hayo Maua yanafaida gani. fafanua tafadhari
  4. M

    Kuku ana matatizo

    Nilicho kieleza ninakijua vizuri sana na nimepata semina SUA. huo no ugonjwa Wa ukosefu Wa vitamin A. nitofauti na ndui ya Kuku, ndui Kuku anakuwa na mapele kichwani na mdomoni. lakini huu uko ndani ya jicho, jicho huziba na ukilitumbua linatoa maji na kitu kama sabuni iliyo lowekwa.MTOA MADA...
  5. M

    Kuku ana matatizo

    polesana kukuwako anaumwa ugonjwa wa upungufu wa vitamini A. hauna tiba. unakingwa kwa kuwapa majani mabichi.
  6. M

    CCM Arusha mjini kumsimamisha Mwl. Mwakasege ubunge 2015

    Ametukuka Mbinguni, hivi zinakutosha kweli wewe?. hakuna mwanadamu aliyetukuka
  7. M

    Saed Kubenea anatumiwa na CHADEMA kuidhoofisha ACT-Tanzania

    we mwalimu tunakufahamu sana wewe no ACT na ulitegemea kupata cheo imekula kwako
  8. M

    Faida za cocacola

    kwasababu haifai kwa matumizi ya kiumbehai chochote
  9. M

    Nifanyeje kuku wangu waendelee kutaga?

    unafuga au unatania?. waache waatamie kama unataka mayai mengi ungerifuga wa kisasa. kumbuka hao ni kuku wa asili razima watage na kuatamia, usiwachoshe
  10. M

    Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    No.4. nilipoona nilishangaa sana Hindi kwa pilipili?
  11. M

    Vijana 3 toka Geita waachiwa huru

    Ebora ataileta Kikwete kwa uzurulaji wake
  12. M

    Laptop for sale

    Ukowapi? chukua laki 3
  13. M

    Siasa basi Mchungaji Rwakatare

    KTK Ukirsto Hakuna m Mchungaji mwanamke. na hata angekuwa Mwanamme tayari alisha poteza sofa za kumutumikia BWANA kwani Biblia inasema usitumikie MABWANA wawili na vyakaisari mpe kaisari na VYAMUMGU mpe MUNGU
  14. M

    Hadithi Ya Kusisimua: Mke wangu nusu jini, nusu mtu

    Hahahahaaaaa Wewe kwa kupenda ndefu haujambo
  15. M

    Elton john aolewa rasmi:picha

    MUNGU akubariki
  16. M

    Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

    Nimeshindwa hata nikushauri nini. nilicho kigundua kwako utakuwa chini ya miaka 18
  17. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kijiji cha Chato mjini CCM imeshinda vitongoji viwili tu
Back
Top Bottom