Search results

  1. Y

    Serikali Mbili Zilizoboreshwa ni Jitihada ya Kuitoharisha Najis

    Yes Pasco, Umepewa mfano: mkojo ni najisi lakin nguo yenye mkojo sio najis, mvaaji sio najis. Sasa rudi kwenye serikali mbili........Muungano............na viongozi wa serikali. Soma kwa utulivu maandishi utaiona tofauti.
  2. Y

    Zitto: Nipo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu kesho (Jan 3, 2014)

    Yes, kama hawa madogo waliomo humu ndio washauri wa Chadema, chama kimebaki na Mabuwa! Hamna watu humo.
  3. Y

    Rais kateleza kutumia lugha za vijiweni kutetea Katiba - Matamko Kurugenzi Ikulu yafanana

    Ni Majina gani TEC waliwasilisha kwa ajili ya Uteuzi kwenye Tume? Ni Majina gani CCT waliwasilisha kwa ajili ya uteuzi kwenye Tume? Yes.....kama hayo yaliyonukuliwa hapo juu yamesemwa na Lisu basi atakuwa mjinga wa kupitiliza. Kamati inaambiwa, bila kuhoji vizuri unakwenda kulalamika tu kama...
  4. Y

    Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

    Pamoja na heshima kwako Dr Kitila sio fair kupeleka siasa za kampeni kwa watoto wa shule. Badala ya kuwa-inspire wasome kwa juhudi, kuwahimiza walimu kuchapa kazi, mnapeleka siasa! No Thanks bro. Vyuoni no problem, sio kwa watoto wadogo.
  5. Y

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Serikali imeingia MoU na TEC (wakatoliki) & CCT (Madhehebu mengine).......waliounda CSSC....soma muundo wa Usimamizi wa CSSC....kuna wajumbe toka pande hizo mbili plus Taasisi za nje (muangalizi) na mjumbe wa serikali .(mshauri). TEC is like Bakwata kwa hapa TZ. Wote mnajua Bakwata haiwezi...
  6. Y

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    FY aka FD, Kwa tunaokujua, huwa unaeleza fikra zako waziwazi. 1. MoU ikivunjwa, waislam binafsi hakuna watakachofaidika, kubwa kutakuwa na uwanja huru wa kitendaji; Taasisi za Dini zitumie rasilimali zake kujiendesha. 2. Hawatumii Taasisi ya sheikh Ponda kwasababu kiserikali Taasisi...
  7. Y

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    Wanafunzi 426,314 walihitimu kidato cha nne mwaka jana. 90% walipata division iv na zero. Kumbe waislam wengi sana nchi hii!
  8. Y

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Taratibu Sura halisi ya Chadema inaonekana!
  9. Y

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    Kama mtu mlijua hafai; ilikuwaje mkampendekeza? Akili gani hizi.
  10. Y

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Chama cha Kanisa kitashinda Kanisani na kwenye wakristo tu!
  11. Y

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    Hakuna chama kinaweza kuongoza nchi hii kwa kutegemea watu wa dini moja! Hamjaona matokeo ya Udiwani!
  12. Y

    Una Darasa / Vyumba vikubwa vya kupanga?

    Mwenye Darasa au Chumba /Vyumba vyenye uwezo wa kuchukuwa wanafunzi 50 Dsm aweke namba ya simu tuwasiliane.
  13. Y

    CUF imchukue Kafulila

    Ni ajabu kuona wanachadema mnashabikia Kafulila kufukuzwa uanachama NCCR simply kwa kuwa alitoka Chadema alikoitwa sisimizi na kipenzi chenu Slaa. Lakini mnasahau: 1. Alihoji Akwilombe - aliondoka na kwenda CCM 2. Alihoji Wangwe - Aliuawa katika ajali 3. Alihoji Kafulila - Aliondoka...
  14. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Wanaozijua siasa za Kigoma wanajua jimbo la Kusini litakwenda wapi. Kigoma mjini Chadema ina nguvu. Kaskazini ukimuondoa Zitto jimbo linakwenda CCM. Kusini Zitto alimjenga sana Kafulila. Kwa sehemu kubwa Kafulila alichaguliwa kwasababu mbili.......Umaarufu wake na historia ya NCCR kuwa na nguvu...
  15. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Naona watu wana comment about CUF only wakati UDP pia nimeitaja.
  16. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Hakuna mahala nilipoitaja TLP na wala siwezi kumshauri hata siku moja kwenda huko. Fitna na majungu aliyopikiwa tunajua yalikotokea.
  17. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Mwanademokrasia yoyote lazima aungane na watu wanaohoji mambo mbalimbali ndani ya chama........else siku hivi vyama vikishika madaraka vitakuwa vya kidikteta kuliko hii CCM tunavyoiona.
  18. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Ni imani yangu wana demokrasia watalipigania jambo hili liingie katika katiba mpya kama alivyo shauri hayati Mwal Nyerere tangu mid 1990's. Ila uhakika kama litaridhiwa, sina.
  19. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Pengine ushauri wangu ni wa kijinga, lakini sikumshauri aende CCM kama ulivyoshauri wewe. Nimesema anaweza kusubiri mabadiliko ya Katiba au ajiunge na CUF/UDP. CUF ina wabunge wawili bara, UDP mmoja. Kuhusu dini na U-bara, Frank Magoba na Lwakatare walishawahi kushinda ubunge huku bara wakiwa CUF.
  20. Y

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Huu ni ujumbe wa kukufariji kama kijana mpambanaji usiekubali kutumiwa na wababaishaji waliopo kwa Maslahi binafsi. Unajua zaidi fitna ilipochochewa ili utimuliwe. Unajua vema magazeti yaliyoripoti kukuhusisha na Zitto kwamba unataka kumuengua Mbatia ili Zitto achukuwe nafasi yake na...
Back
Top Bottom