Search results

  1. Revamp

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    Jamani hii centre ni ya Manji,this is confirmed. Tena kuna tetesi pale kwenye show room yake anapiga bei. Stay tuned for an other movie
  2. Revamp

    watoto wa mitaani

    Kweli what goes aroung comes around
  3. Revamp

    Questions you will never guess the answers

    Q: Why are condoms transparent? A: So that sperms can at least enjoy the scene even if their entry is Restricted! [] Signboard outside a prostitute's house: Married MEN not allowed. We serve the needy, not the greedy... * [] New AIDS awareness slogan: Try different...
  4. Revamp

    Track me T22

    Kama itakuwa na uwezo wa kutrack hivyo basi tukae tayari na kesi nyngi za fumanizi.
  5. Revamp

    Track me T22

    Wana JF Kuna kifaa kipya kimeingizwa hapa nchini kinaitwa TRACK ME T22 ambacho ni mahususi kwa ajili ya ulinzi hasa wa magari.Kulingana na wasambazaji wake kina uwezo wa kutoa taarifa ya ujumbe mfupi kupitia sms. Sina utaalamu sana,ila kama kuna mtu anaye elewa vema kinavyo fanya kazi...
  6. Revamp

    CCM watoa 70,000 mkono wa pole wanafunzi wa Idodi

    Sitaki kuamini kama kweli wametoa hii hela,ila kama ni kweli itakuwa dhihaka kubwa sana kwa marehemu. Au labda mdau aliye tupa habari hii amekosea mahali,yawezekana aliye toa ni M/Kiti wa Serikali za Mtaa huko Idodi na si mchango wa chama. Sitaki kuyashuhudia haya. *****Natamaniee natamani...
  7. Revamp

    Mazishi ya wanafunzi walio ungua kwa moto katika picha

    Nadhani hii sasa inabidi ifike mahali hata na hawa viongozi wetu waingiwe na moyo wa huruma na kuyaangalia mashule yetu. Ilipaswa ile ya shauritanga iwe nikama pilot study ya kuona nini kifanyike ili isitokee tena,any way kwakuwa wao ndio wameamua kufanya kama sehemu ya maisha yao ya kuwa...
  8. Revamp

    Hellow to all great thinkers

    Salaam kwenu wote. Nimekuwa nikifatilia kwa muda mrefu posts mbalimbali na sasa nimeshawishika kujiunga ili nami niweze kutoa mchango wangu. Naanimi yote yanayo ripotiwa humu huwa yana leta changamoto kwa wale ambao wanakuwa wame fikishiwa ujumbe huo. JF idumu daima. Aluta continua....
Back
Top Bottom