Kama maofisa wake hawajui PGO..bora wangeanza na semina elekezi kabla ya kukutana na Msajili.
Na huyu msajili around mid 2000s alikuwa RM pale Kisutu. Rekodi yake ilikuwaje ... inaweza kutupa clues kwa tabia zake za sasa...
Hawa ni wale wale wapiga debe wa Kaganda.... ndo maana unaona kashachomekea wakati subject ni Sirro. .
Kama issue ni uanamke, wapo wanaofaa lkn sio Kaganda !!
...watu wengine sijui wanafikiria na masaburi au ,!!
She is very experienced na mambo haya ya problem solving tree..kama hujui kuliko huyo aliyekuwa na PhD feki ya kukrem periodic table tena very few elements....
Yeye tena Mama jana kasema anataka kukutana na madhehebu yote separately...
Nani kasema DC ndo aligundua wizi ?
Mlizoea kupeana sifa za kujitungia tuuu....
Subiri uchunguzi uishe kwanza isijekuwa ni sehemu ya wale waliokuwa wanavuta pesa kutoka kwa jamaa wale....
Kumuudhi mlipa kodi tu.
Hii dhana sijui wameiokota wapi yaani kitu kidogo tu awareness campaigns through billboards, radio and print ads !!
PM itabidi ateue akina chumvi kuwa balozi wa kuwatunza wabunge adabu wakatwe kodi na payee ili wapewe kiinua tumbo halali...
Ulianza vizuri suala la kusifia kupitiliza.
Wengi hao ni watu walizoea sana au kubebwa na Jiwe... sasa wanatumia kila nafasi in public kujikomba kwa Mama.
Ila kuhusu mazulia hayo ni ya Ikulu sio ya mradi. Logistic team ni sehemu ya misafara ya wakubwa nje ya Ikulu.
Sijui kama jana uliona pia...
Na kwa nn uone sasa hivi tu ? Ingawa hujamtaja lkn Jiwe alikuwa bingwa wa kutumbua kwa mbwembwe na kashfa, hasira then anawarudisha tena...
Wengi tuuu akina Mwigulu, yule alikuwa Mkuu wa fire dept, Simbachawene nk
Akizingua.....tutazinguana !!
Watu waje na mabango hata ya matusi ????
Haya nenda kwenu ukae na fikiria yule ulisema uliongea nae kwa simu wakati ashakufa alikwambia nn... !!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.