Search results

  1. M

    Tanzania National Identities

    Shy, I wish you were sincere in your comments and postings!
  2. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Tusidanganyane hapa. Yebo Yebo kaeleza. Kinacho-determine taaluma siku hizi ni markatability. I can assure you, kama mtu angemaliza udaktari wake Muhi2..akaanza na mshahara wa Million 1.5/2 or so, au mwenye Bsc, ENG. NK anakuwa na mshahara wa kuishi na sio wa kulipa bill tuu.. na anayemaliza na...
  3. M

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    What did you expect from her?..Lol I forgot that she has a "doctorate"
  4. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Ndo maana inaniwia vigumu kuwaelewa hawa wanaojifanya Pan Africanist akina Ankomaah..wanapiga kelele wakiwa London kwenye viyoyozi, watoto wao wakila shule za uhakika.. na wala si kwao Ghana...wanasahau kwamba Uingereza wanayoitukana ime-gurantee hata huo uhuru wa kuitukana serikali. Mbona kama...
  5. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Waungwana..I fully agree culpability by western countries in the current messy in Zim. But hey wait a minute. What Mgabe did was a populace move to win election in 2000. Ni kweli alitaka kurudisha ardhi kwa wazawa, but how and when, was the deadliest mistake he made. wengi walishaliongelea humu...
  6. M

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Mzalendo halisi umenikuna na maneno yako!! "vipi daktari..alifeli mbona hana baloon"/ Huuuu....maneno yana ujumbe mzito mno.....lets talk about it...sayansi bongo ni michosho..namuomba Mungu amfunulie JK huu ukweli..auelewe (kama hajajua bado)..sasa huyo ni Doctor..hao akina archtecturers, civil...
  7. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Hahahaha..Joka Kuu, you must be joking by uttering this statement! I honestly believe you dont mean it!
  8. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Joka Kuu, its extremely hard and next to impossible kuangalia swala la Zim bila kuchambua personalities.....maana ndo wanapreside hizi sera na mengineyo. Ni kweli, ni vema kumtofautisha Mgabe na Zim but how? by the way..yuko kwenye mkakati wa kugombea tena....(after all chama kimesema...tutafika...
  9. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Mzalendo Halisi..mpaka lini tutaacha kuwalaumu wazungu kwa ujinga wetu? we should get life people!!!! Leo bongo matumizi ya kawaida ya ikulu na ofisi nyingine..ni makubwa kuliko health services na mengineyo...kesho watu wakifa (as they always do anyway)..unajua tunapoint vidole wapi? to the...
  10. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    Ama kweli Jambo Forum kiboko!!! Heshima ya Forum mbele!! Nimekubali...tungekuwa na hawa watu akina Nyani, MK, CMB and the rest wakati tunaisaini mikataba yakina Richmond..sijui hawa wazungu wangetupita wapi?oooooowwwwiiiiii!!!!!!!!!!!!! Jasusi..na hilo ndo lilikuwa somo la juzi kanisani...
  11. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    wengine ambao tuko Buguruni tunasubiri ushahidi wenu..Maana hatuna hiyo miundombinu.....all ears and eyes on JF!
  12. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    Nyani mi nadhani MK atendewe haki....hakuleta argument hapa kwa ku-msupport Mkandara. Yuko hapa kulinda credebility ya forum (THE SAME APPLIES TO YOU I GUESS)!!! She is in here in her own right and terms.... (atleast nilivyomuelewa!). Kwa hiyo watu wasimuunganishe na Mkandara. Indeed Mkandara...
  13. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    MK...unafaa sana kufanya cross examination! Unamkumbuka Lamwai enzi zake? alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali mahakamani...mpaka mtu analia mbele ya jaji!!!.... Lady....nimependa unavyoflow na maswali yako...... Credibility ya forum mbele!! wananchi nyuma!
  14. M

    Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

    Mkandara unanitisha ati!!!
  15. M

    Tanzania's Foreign Policy

    Hivi mkuu unafikiri kwanza ni wangapi..wanajua hata kutumia hizi computer? Angalia % kubwa ya bureacrats wa serikalini ni wa miaka hiyooooooo...inshort they have nothing to do with IT...sana sana utakuta wana email ya HOTMAIL tuu basi... juzi jamaa alitoa mfano kwamba usishangae kuona...
  16. M

    Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

    Mi nadhani issue ya wakatoliki waachieni Wakatoliki! Kama aliwaibia watampeleka wanakojua wao au walishampa adhabu-mi sijui.... hii ya Balali waachieni WANANCHI wa TANZANIA ambao ni mimi na wewe-kama ametuibia tujue pa kumpeleka! kwa sababu issue ya Balali ni ya watanzania wote..wenye dini na...
  17. M

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Mkandara you better take the lead on this!!!!!!!!!
  18. M

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Samahani mkuu barabaraya18.....Tafadhali kama nimekukwaza..halikuwa lengo langu.....Perhaps its clear kwamba sisomi..(si unajua tena uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo?)...But Iam glad wengi hatusomi including Mkjj...So siko pekee yangu.....Again samahani bwana!
  19. M

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Jamani hivi hakuna wanazuoni walioyasoma haya mambo..kama taaluma wamwage vitu hapa? Barabaraya18 na mimi ananichanganya..anataka wengine waback up statement zao na aya za ushahidi wakati yeye hajatupa aya zinazosupport hoja zake za talaka moja tuu......mkuu tupe vitu...
  20. M

    Buriani Amina Chifupa!

    RIP Amina. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi.
Back
Top Bottom