Search results

  1. K

    SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Kabisa na Bado yupo anarandaranda tuchue tahadhari
  2. K

    SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  3. K

    Natafuta kazi, nina diploma ya Pharmacy

    Msaidie kupata kazi sio maswali juu ya maswali
  4. K

    Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Kazi inatafutwa haiji yenyewe
  5. K

    Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Pole mkuu kwa kushonwa hvyo....kila mtu ana ujuzi wake
  6. K

    Mwenye kuhitaji daktari, Md wa part time -Arusha

    Nina usajili wa wizara ya afya, posho makubaliano. Tuwasiliane 0713163751
  7. K

    MSAADA: NGAZI ZA MSHAHARA (OSHA)

    MSAADA: ngazi za mshahara za occupation safety and health authority(OSHA)MSAADA: ngazi za mshahara za occupation safety and health authority(OSHA)
  8. K

    Kwa Pogba tumelamba Jokeri

    Pogba hatareee. Kazi yake ni kutumbua majipu ya wachezaji wenzake uwanjani kasahau kutoa pas na kufunga
  9. K

    Daktari natafuta kazi

    Jamani hili suala la ajira ni tatizo sugu na hivi Sasa limefikia hadi kwenye sekta nyeti ya afya.....serikali ifungulie tu hizi ajira hususani sekta ya afya kwa takwimu za haraka haraka kuna madaktari zaidi 1800 ambao wamemaliza internship mwaka Jana na mwaka huu wamekaa tu nyumbani.
  10. K

    Waziri Angella Kairuki sema neno moja tu, vijana waathirika wa ajira wapate amani

    Kuna madaktari Zaid ya 1800 waliomaliza mwaka Jana na mwaka huu mafunzo ya kazi ( internship) wapo wanazagaa mitaani tu. Hawajui hatma Yao.
  11. K

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hakuna kituo cha Tv Kinachoonyesha LIVE??
  12. K

    BAVICHA Wapiga Tatu Kwa Mpigo Kujiimarisha

    Hongereni makamanda tumefarijika na uwepo hapa ifakara tutawakata mikia mapanya yote MACCM
  13. K

    Nahitaji nyimbo ya Emmanuel Nkulila-PAIN IN ME..

    Kwa yeyote anaeweza kunipa link ni download wimbo wa mtanzania Emmanuel Nkulila tupia hapa tadadhali!!! thanks
  14. K

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Idadi ya mitaa yote 33 CHADEMA 29 CCM 3 MTAA 1 UTARUDIWA WIKI IJAYO!
  15. K

    Uonezi wa Chuo cha Udaktari St.Francis Ifakara kwa Wanafunzi wake

    Kilichofanyika ni ukiukwaji mkubwa wa sheria na taratibu halali zilizowekwa na serikali. Mamlaka husika naomba zichukue hatua kali kwa wahusika!!
  16. K

    OFFICIAL: CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba...

    Fukuza wasaliti wote!! Hatuwataki watatuharibia harakati zetu za ukombozi
  17. K

    ZITTO: Natamani kuona mwanangu sikumoja ni mwanachama wa CHADEMA

    Kama unalitambua hilo acha unafiki jenga chama na acha kutumika kukivuruga Haiwezekani most of the time wewe tu ndo uwe typed kama chanzo cha misuguano na migogoro!!! Who are you by the way!!!!?? Wapo watu wana uchungu zaidi ya ww kwa CHADEMA. Tulia na ujipange upya kijana ZITTO...
Back
Top Bottom