Search results

  1. Monstgala

    Possible Intelligent Life out there

    Ule uzi ulifungwa zamani kidogo. Kuhusu photons ni kweli hazina mass ila zina gravitational pull ukibase kwa theory ya relativity kuliko ile ya Newtonian. Kwa kifupi photons zina gravitational charges kutokana relativity mass ambayo ni tofauti na mass ya particles nyingine za kawaida. Kuelewa...
  2. Monstgala

    Possible Intelligent Life out there

    Mkuu nimerudi, nashukuru sana. Napitia baadhi ya topics mpya za jukwaa hili nipate kuchangia lolote. Cheers..
  3. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Shukrani, nimerudi baada ya muda mrefu kidogo :)
  4. Monstgala

    Itakucost ukifanya na usipofanya

    Interesting...
  5. Monstgala

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    JF Team Poleni sana kwa kazi ngumu. Tunafarijika kuona mmerudi.
  6. Monstgala

    Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)

    Binafsi napenda kuchunguza mambo zaidi kwa kina sana kuliko wengi wanapoishia hivyo ingawa nasoma mitazamo tofauti nadhani ni budi kwa jukwaa kuchambua mitazamo kuliko kuiandika tu kama ilivyoandikwa pengine. Utaniwia radhi kwa kutaka ufafanuzi zaidi wa kina ambao utaweka wazi hizi zinazoitwa...
  7. Monstgala

    Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)

    Asante kwa kuni-tag katika topic hii Etcetera. Ni kama perfect place to share and discuss some deep related issues, lakini pia kuleta challenges katika mitazamo hii kwa ujumla wake au kwa vipengele vyake.
  8. Monstgala

    Kama dunia inazunguka, kwanini miamba na milima haiporomoki? Na kwa nini bahari isimwage maji yake?

    Shukrani tamadunimusic. Kuna mada kadhaa tofauti niliwahi kupost lakini hii ambayo kwa sasa ni closed topic kuhusu nyota na galaxies inaweza kuwa muafaka kwa ombi lako. Click hapa
  9. Monstgala

    Alliens Invasion

    Asante.
  10. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Mashaxizo, Thought experiments are devices of the imagination used to investigate the nature of things. They are used for diverse reasons in a variety of areas, including economics, history, mathematics, philosophy, and the sciences, especially physics (Encyclopedia of Philosophy). Scenario...
  11. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Ukinisoma vizuri naposema ubongo nakuwa naongelea system ile ya ubongo ikiwemo spinal cord. Katika full body transplant ingawa haijafanywa bado lakini surgical procedures lazima zihusishe kuhamishwa kwa ubongo mzima ukiwa na spinal cord kama njia rahisi ya ku-ensure ufanyaji kazi wake kwa...
  12. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Blackman, Katika thought experiments nilizoainisha, ufahamu au data katika ubongo ni temporary na zinaweza hamishwa sehemu hii na ile hivyo kama itatokea kuwa replicated basi tayari wewe pia unaweza kuona wazi udhaifu wa hoja hiyo kwa msingi kwamba unaweza kupotoshwa na ufahamu wako kwa kuwa tu...
  13. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Mkuu Blackman, asante kwa kuweka wazi mtazamo wako ambao ni wa msingi kabisa. Kwamba ufahamu ndio haswa nguzo ya u-mimi wangu au u-yeye wa mtu fulani. nami napenda kukupeleka hatua ya mbali zaidi katika kufikiri ili uupime ufahamu katika hatua za majaribio ya kifikra na uone kama unabakia pale...
  14. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Mkuu asante sana kwa kuiweka hoja yangu katika maelezo mazuri zaidi na labda kutoka angle ya pili ambayo inafanya hoja iwe wazi au ieleweke zaidi. Nakubaliana nawe moja kwa moja katika elaboration yako hasa katika sisi ni nani na pia jinsi tunavyoweza kujitambua kotoka ndani kwa wakati wowote...
  15. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Mkuu, ufahamu au data zote katika ubongo nazo zinaweza kufutika au kufutwa. Je "ufahamu" ukifutwa yule mtu huyu pia atakuwa kafutwa "u-yeye" kama yeye na identity yake? Mfano mzee mmoja kafikisha miaka tisini na saba na kutokana na uzee akapoteza kumbukumbu zote na ufahamu hasa aliokuwa zamani...
  16. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Kama huyu mtu atajiona mwanasoka kwa kuwa kichwa ni cha mwanasoka (previously) basi mtu huyu u-yeye wake uko kichwani na kwa mtazamo wako tunafikia hitimisho la "u-mimi" upo kichwani au kichwa ndio hasa "u-mimi" wa mtu. Lakini nimetoa mifano ya viungo vilivyopo kichwa vyaweza kubadilishwa pia...
  17. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    :) Hapo kwenye highlight, hii nadharia inakuwa na changamoto kutoka kwa mhusika mwenyewe sio wale wanaomuona. Nina maana yeye mwenyewe, mwanasoka akiamka kutoka katika hiyo operation atakuwa au atajiona ni yupi? kichwa chake katika mwili mwingine au mwili katika kichwa kingine? Ndio wazo hili...
  18. Monstgala

    Nini kinafanya uwe wewe? Ubongo? Mwili? Roho? Ufahamu wako?

    Mkuu Eiyer, shukrani. Unasema binadamu ni muunganiko wa mwili na roho, sawa ni mtazamo mmoja wapo lakini kitu cha ziada sana katika kutafakari hapa si suala la "binadamu ni nini" bali ni kipi hasa kinafanya mtu fulani ajione/ajitambue/ajihisi/ejielewe etc., kwamba ni yeye katika mjumuisho wote...
Back
Top Bottom