Namshauri Rais Magufuli aangalie Press Conference za viongozi wenzake hasa wa Magharibi. Wanaheshimu vyombo vya habari na kujibu maswali hata kama yapo nje ya tukio husika. Obama alipokuja Tanzania alijibu maswali yasiyohusu Tanzania yaliyohusisha serikali yake. Ndiyo ukomavu wa uongozi na...
Kwa pumba zote za Mwigulu huko nyuma, alinena la maana pale alipowaambia CCM wenzake waachane na mchakato kuokoa pesa za wananchi.
Ni aibu kwa yanayoendelea na kukimbia aibu lazima pesa iteketee sana kuitetea 'Katiba pendekezwa'
Je wewe ni mfanyakazi au mfanyabiashara mwenye kipato cha wastani?
Je unahitaji kukuza biashara yako na kuwa ya kimataifa?
Je unahitaji kutimiza ndoto zako mbalimbali za maisha kwa uhuru wa kipato?
Patakuwa na semina maalum ya HIGHFLYERS itakayofanyika siku ya Ijumaa 30th May, 2014 ukumbi wa...

Jana uongozi wa Mkoa wa DSM umeomba wilaya mbili mpya (Kigamboni na Ubungo).
Swali: Je kuongeza wilaya na mikoa kila wakati si gharama? Kuna tofauti gani kati ya hili na kuongeza serikali 3?
Tuache unafiki.
Maswali yako pekee, yanaonyesha imani yako katika dini ni dhaifu na pengine mfuasi wa freemasons.
Kama ni mkristo au muislamu unayejua vizuri vitabu vitakatifu. Majibu ya hayo maswali yapo huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.