Search results

  1. DALA

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ninafanya kazi na mrusi mmoja, juzi kati wakati tupo kizigo tukawa tunapiga stori, ananiambia hii vita haitaisha leo, inaweza kuchukua hata miaka kumi ila wao wanajua Kiev ni halali yao. kwamba kipindi cha Soviet, makao makuu ya usovieti ilikuwa Kiev, hivyo vita itaisha siku wakirejesha makao...
  2. DALA

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Tuliza wenge, chukua mke mwingine mbichi siyo single mother lakini. Huyo aliyetoroshwa atajikuta amerudi kuwa na mke mwenzake alafu ajihudumie mwenyewe. Koma kumtafuta tena, hata kama unaumiya, usimpigie Simu wala kutuma sms tena. Wewe ndo unampa turufu dhidi yako kwa kufanya hivyo. Hapo...
  3. DALA

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    Mkeo ni mzaramu? Samahani kwa kuuliza. Alafu nahisi unaishi na mteja wa Mirembe.
  4. DALA

    Huyu ndiyo Bruce Lee

    Angalieni documentary ya Bruce Lee ipo Netflix. Utaelewa vizuri maisha na falsafa yake jamaa.
  5. DALA

    Mpenzi wangu amekataa kabisa kufanya ngono nami

    Show interest kwa mwanamke mwingine. Chakata ngozi and let her know about it. Kama anakupenda kweli, utakuja kutuadithia hapa.
  6. DALA

    Kwa uhuni alioufanya Tshekedi kwenye uchaguzi nchini Congo kuna mtu atamuonea huruma tena

    CCM inafanya hivyo toka 1992, na bado wanaendelea. Huoni kama tungeanza na CCM kuonyesha mfano?
  7. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Nitaenda kuwatafuta. Vipi bei zao?
  8. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Hii nyasi ninayo ni nzuri sana. Vipi unapatikana wapi? Je unasafirisha?
  9. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Nashukuru kwa maoni na connection
  10. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Nakubaliana na wewe. Kwangu mimi, mbuzi wa nyama ninechagua kuwafuga hawa aina ya Galla. Na huyu ni beberu wangu wa zizi.
  11. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Nimepokea ushauri kwa moyo mkunjufu
  12. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Ushauri mzuri sana. Nashukuru kiongozi.
  13. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Ni kweli, ila siyo kwamba ndiyo ninaanza kihivyo. Hapa nataka tu kuingia kwa gia kubwa. Mpaka sasa ninafuga mbuzi na ng’ombe ila kwa scale ndogo. Ilikuwa kama mradi wa majaribio, sasa nahisi nipo tayari kuliamsha dude. Ndiyo maana nataka kusikiliza ushauri wenu pia.
  14. DALA

    Nakusudia kuanzisha Ranch/Kufuga ng’ombe wa nyama- Naomba ushauri

    Nawasalimu wote wana jukwaa, Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku. Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya: 1. Mikoa sahihi kwa biashara hii 2. Faida na hasara za biashara yenyewe 3. Changamoto na fursa 4. Wanunuzi wakubwa wa...
  15. DALA

    Utata wa kidini kwenye haya mahusiano umetuacha njia panda

    Wazazi walikubali maana hakukua na jinsi. Ila iliwachukua miaka kuja kukubali.
Back
Top Bottom