Search results

  1. B

    Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Siku panya road walivyokuwa mtaani polisi walikuwa wapi? Raia wasiyo na silaha wakiandanana tu......polisi watamwagwa kila kona.
  2. B

    Hujuma Pantoni za Kigamboni

    Umenikumbusha kauli ya profesa mmoja hivi juu ya uwekezaji!
  3. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hata mechi na Liverpool inabidi wakomae.
  4. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hapana mkuu. Siyo kweli. Jana CHL ilizidiwa kama ilivyofungwa na Tottenham kwenye EPL. Hakuna timu inayopenda kufungwa au kuachia makombe. Huwezijua kesho mechi itakuwaje.
  5. B

    Natafuta kazi ya kujitolea

    Mkuu unampotosha mwenzako. Kujitolea ni jambo jema sana. Unawezakujitolea sehemu mbalimbali. Kusafisha shule za watoto wadogo. Kusafisha hospitali. Kuwapikia watoto yatima kwenye makazi yao. Yaani hatankama umeajiriwa....ni vyema kutenga muda wako hata saa moja kufanya kazi za kujitolea.
  6. B

    Ujuzi wa biashara ya cementi

    Nenda kanunue kwa jumla kiwandani kilima Wazo
  7. B

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sizitaki mbichi hizi.
  8. B

    Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

    Kuna uzi humu humu umeletwa na mdau mwingine kwamba ameshajiuzuru.
  9. B

    Unguja: Jambazi lauawa na Pingu mkononi

    Aliyeuawa ana pingu mkononi. Inamaana bado alikuwa na silaha?
  10. B

    Miss world aingiliwa kinyume na maumbile

    Imebidi niangalie umejiunga lini JF. Nimekuta hili ni bandiko lako la 19. Karibu sana tuijenge nchi.
  11. B

    Ujumbe maridhawa kwa polisi wetu

    ......
  12. B

    Bill Gates anywa maji ya Kinyesi

    Usijali ☺
  13. B

    Bill Gates anywa maji ya Kinyesi

    Ulidhani maji yametoka chooni na kuyanywa kama yalivyo? 😅
  14. B

    Bill Gates anywa maji ya Kinyesi

    Windhoek, Namibia; zaidi ya asilimia 40 ya maji salama yanatokana na maji ya chooni. Kuna sehemu wana bwawa na mtambo wa kusafishia.
  15. B

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    Umeona wapi mtu anaougwa na AK47 halafu hatoki damu? Teh teh teh. Yule jamaa mtuhumiwa wa madawa aliyekuea anatoroka mahakamani akapigwa risasi na polisi wa Tz, uliona picha yake? Sasa jiulize ☺
  16. B

    Hivi huko Dar wanakaa wanaume wa aina gani?

    Dar kunawazee tu 😅
  17. B

    Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    Kweli propaganda ni njia nzuri ya kuchonganisha watu. Jamaa wanapika matukio, wanasingizia dini ya watu fulani. Wahusika mnaingia upepo. Embu angalia mlivyochangia hapa ilihali hiilo tukio lina kila dalili ya kuwa ni false flag! P.S. hivi ndivyo jamaa wanataka iwe inatokea (muwe mnajaa upepo)...
Back
Top Bottom