Search results

  1. Kifaru Kajeruhi

    CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

    Chuki binafsi......tafuta facts kwanza! wewe unazungumzia ofisi ambayo yeyote anaweza kuitumia unaacha kuzungumzia nchi inavyoliwa na waliokutuma....utakufa maskini.
  2. Kifaru Kajeruhi

    Samwel Sitta ndiye aliyeifisadi CDA mpaka kufirisika

    Mtu aliyeanzisha hii thread ni wa kuhurumia na utaendelea kulala hivyohivyo wenzio wanatoa michango ya kujenga nchi. Hivi hili suala kwa nini unalitoa leo??? hivi kama ana kashfa kama hiyo siku zoooote hizi RA na wenzie wangemuacha?......................endelea kuokoteza baba...mtazitafuta...
  3. Kifaru Kajeruhi

    JF Exclusive: UVCCM Yajibu vikali Magazeti ya Raia Mwema na Mwanahalisi - Yasema Yamezua habari!

    [CENTER] Huyo Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ni limbukeni kama kawaida amekurupuka sasa wenzake wanamkana kwamba ni tamko lake binafsi...AIBU KUUUBWA. UVCCM URAMBO tunamkubali mzee 6 na ataendelea kuheshimika tu. Soma habari kwenye NIPASHE ya leo 25/3 ndio utajua kuwa Chama kimepoteza dira na...
  4. Kifaru Kajeruhi

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Nimekukubali mkuu, Huyu EL anapenda sana kutumia fedha zake kununua kila kitu mpaka watu. Hatutamkubali 2015
  5. Kifaru Kajeruhi

    TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

    wizi mtupu...wametumwa haooooo. sioni dhamira ya kweli ya tamko hilo:frusty::A S 39: kama kawaida mipasho. Hakuna jipya
  6. Kifaru Kajeruhi

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Wewe kalamu daftari ni mtu wa majungu sana ondoa kwanza kibanzi kwenye jicho lako. Tunataka mtu anayeijenga hii nchi sio mambo yake mengine ya baada ya kazi. Umekalia ujinga tu. Ushauri wa bure jitoe humu kwenye JF ambako watu wanajadili issues zenye kujenga nchi hii.
  7. Kifaru Kajeruhi

    Elections 2010 Lowassa Angejua....

    Aisse kituko wewe ni mkali hebu tutafutie tena mstari mwingine umuandikie RA. Nimekukubali
  8. Kifaru Kajeruhi

    Elections 2010 Lowasa sasa autaka Uspika

    Mnafiki ni wewe hapo, umelifanyia nini taifa hili? jiulize kwanza kabla ya kuita watu wengine wanafiki? ukituma trash humu ndio unaona umefanya kazi ya maana. Toa hoja sio kuita watu wanafiki. Halafu nakushauri ujitoe kwenye JF mpaka utakapokua. UTOTO UNAKUSUMBUA:A S-baby: .........GROW UP
  9. Kifaru Kajeruhi

    Elections 2010 CONFIRMED: Samwel Sitta arudi kwa kishindo - Urambo Mashariki

    Mwenye roho za kwa nini haoooooo...wameanza. Hakuna mtu ambaye ameshaongoza bunge letu kwa viwango vya 6. Hiyo ndiyo fact.......na atapeta tu hata upinzani wanamkubali wamepewa nafasi nzuri kutokana na 6 kusimamia mabadiliko makubwa ya kanuni. Mtakalia hivyo hivyo ofisi ofisi kila mkiamka ofisi...
  10. Kifaru Kajeruhi

    Elections 2010 Alichofanya SITTA jimboni kwake....utata mtupu

    nyinyi wooote mnaoponda humu ni $f...#$. Hamjui chochote mnachozungumza....wilaya gani tanzania hii ina maendeleo hayo mnayozungumzia nyie...badala ya kujenga hoja mnatukana tuu..ndio maana mmekalia kujificha humu na majina ya uongo. Tafuteni data nyie. Ofisi ya urambo ni ya mbunge na siyo ya...
  11. Kifaru Kajeruhi

    Sofia Simba amtosa Hasna Mwilima

    Jamani huyu akili kichwani ni pro mafisadi..ameng'ang'ania sophia simba sophia simba kila mahali....una nini wewe....haloooo....wake up.......mdanganyika
  12. Kifaru Kajeruhi

    Pinda Jiuzulu kazi imekushinda!

    Hivi jamani kwa nini tunaendelea kujadili tu kujadili tu humu halafu hatuchukui hatua za kweli?? huyu PINDA KATUDHARAU WATANZANIA.............TUAMKE JAMANI. WAKATI WENZETU HUKO JUU WAMEJISAHAU.......................BORA SASA TUAMKE
  13. Kifaru Kajeruhi

    Plot to assassinate Speaker Sitta

    Hivi nyinyi watu..mnatarajia gazeti lidanganye issue kama hii ili nini.....au hamuelewi uzito wa maneno kama yale yaliyoandikwa? Tumain..na wenzako nafikiri nyie pia ni mafisadi ndio maana macho yamefungwa kabisa hamuoni tena......WIZI MTUPU.......kalagabaho. Kitu kama hicho azushiwe mtu ili...
  14. Kifaru Kajeruhi

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Jamani mi nafikiri hapa kuna maelezo zaidi yanatakiwa hapa.....maelezo ya Jerry Muro hayaeleweki....UPDATES please
  15. Kifaru Kajeruhi

    Hosea Anamtishia Sitta Maisha?

    Wewe pasco ni mshamba na ndio maana umejifichia humu.....kwani mtu anayejiamini unamuangalia kwa kutumia kigezo kipi? issue hapa ni hoja tu na sio muonekano wa sura bado ni mtoto mdogo sana unatakiwa kukua kwanza kabla ya kuanza kujadili humu...eti mikono chini ulitaka amshike shati?
  16. Kifaru Kajeruhi

    Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

    Charles mulinda ni nani? .................ameshakula hela za mafisadi sasa ndio anataka kutafuta umaarufu yaani mahali pa kutokea kupitia migongo ya watu......................HUYU TUMPUUZE NA KUMUOGOPA KAMA UKOMA. Tofauti ya mawazo ndio itakayotutoa katika lindi la umaskini .................
  17. Kifaru Kajeruhi

    Msanii Chiligati na kauli zake zinavyogeuka kama Kinyonga

    Hawa wasanii wako wengi sana.......Chiligati ni Msanii amekosea fani alitakiwa awe TOT Plus BIG UP wapiganaji wa Mafisadi
  18. Kifaru Kajeruhi

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Humu wanafiki wengi , hivi watu kama BLU RAY na wengine nyinyi mmeifanyia nini nchi hii...kazi kujificha tu kwenye JF. Hamna GUTS za kukemea chochote...MZEE SIX YUKO JUU
  19. Kifaru Kajeruhi

    Barua ya wazi kwa Lowassa na Rostam

    Hili jitu SKASUKU kweli nimeanimi jina la kasuku halina maana na kazi yao aidha kuropoka bila kujua maana au kuiga. Acha kuongea vitu vya kitoto wewe unataka kuwafanya watu kuwa hawajui hayo mafisadi yanafanya nini...nakupongeza sana Mzee punch hasa kwa ujasiri wako wa kuandika mada ndefu na...
Back
Top Bottom