Search results

  1. Kilembwe

    Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

    Mkuu tatizo liko kwa pande zote mbili, Ahmed Ally hawezi fanya interview yoyote bila kuinanga Yanga, hivyo hivyo kwa Ally Kamwe, timu zote zimekuwa na utamaduni wa kunangana. Unasema Simba hawajawahi kuwacheka Yanga kwa kukaa miaka 25 bila kuingia makundi champions league, dah labda ulikuwa...
  2. Kilembwe

    Hivi jamani tunawaamini wazungu kweli?

    Ukisha kubaliana na hili basi pia ukubaliane na sayansi juu ya uumbikaji wa binadamu kuwa ana share ancestor na chimpanzee na sio anatokana na uumbikaji wa Adam!
  3. Kilembwe

    Nani yuko nyuma ya 'personal attacks' dhidi ya Mwigulu na Makonda jana Star TV kipindi cha Ajenda?

    Kwa nini unafikiri alitumwa? hapa ndipo CCM imefika kweli! vijana wanajijengea mazingira ya kutumwa tu, sio kutoa fikra huru!
  4. Kilembwe

    Hivi wana-JF, mnamfahamu mnyama huyu?

    Hii ni part ya abnormal behaviour hasa kwa pet animal kama mbwa, ni "aggressive behaviour" hii husababisha na mambo mengi, na ni tatizo kama matatizo ya ugonjwa mwingine, ili kusaidia zaidi ni vizuri pia kujua historia ya mbwa mwenyewe, lakini mara nyingi mbwa kuwa aggressive kwa owner au...
  5. Kilembwe

    Angalia akili za watu zilivyo

    Sijakuambia kuwa Animalia na Plantae sio Kingdom, yes ni mojawapo katika 5 Kingdoms of Life, branches za Biolojia ni Zoology (ikihusika na wanyama na ndio maana niliandika "Animals" na sio Animalia) na Botany (ikihusika na mimea, na ndio maana niliandika "Plants" na sio plantae!
  6. Kilembwe

    Angalia akili za watu zilivyo

    Wanachanganya branches (matawi) za Biology na Kingdoms of life!
  7. Kilembwe

    Angalia akili za watu zilivyo

    Mkuu hakuna kundi la viumbe hai lisilokuwa na maana.....soma vizuri food chain na food web ndio utaona umaana wa fungi na bacteria....
  8. Kilembwe

    Angalia akili za watu zilivyo

    Sina hakika umesoma lini, lakini tokea sayansi ya biolojia imeanza, Kingdom (makundi ya viumbe yako) matano! hizo mbili unazosema ni matawi (branches) ya Biolojia yaani Botany (Plants) na Zoology (Animals)
  9. Kilembwe

    Angalia akili za watu zilivyo

    Si kweli animalia (Animal Kingdom) ina makundi mawili tu invertebrates (wanyama wasio na uti wa mgongo) na vertebrates (wanyama wenye uti wa mgongo) !
  10. Kilembwe

    Nina supp nne 4 semester 1 na 5 second semester. Je, kuna uwezekano wa kuchomoa?

    fuatilia kwa sasa bado utaratibu ni huo huo pass mark ni 50%
  11. Kilembwe

    Nina supp nne 4 semester 1 na 5 second semester. Je, kuna uwezekano wa kuchomoa?

    Hapana,fuatilia ndio utaratibu uko hivyo hadi sasa
  12. Kilembwe

    Tundu Lissu: Hizi Pikipiki zinatengenezwa China kwa Mamilioni lakini China hakuna Bodaboda hivyo Siyo Ajira

    Kwa maana halisi ya neno ajira... "Ajira (kutoka neno la Kiarabu) ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi." Kwa maana hii hutoona hizo boda huko China na Vietnam
  13. Kilembwe

    Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Hahahaha hiyo ndio faida ya kujenga vyoo ndani ya nyumba (wenyewe twaita Master bedroom), ungejenga choo nje ya nyumba walaaa hii kero isingekukuta, pole bro!
  14. Kilembwe

    Yajue majina ya vitu hivi kwa kiswahili, ulikuwa ukivijua kwa kiingereza tu

    Hapana Ndaki ni College, nenda chuo kikuu chochote hapa Tanzania kisha uliza ndaki ni nini?
  15. Kilembwe

    Waziri Mwigulu Nchemba alikejeli Bunge, ataka lijadili uganga wa kienyeji sio uchumi

    Mule Bungeni kuna wachumi wabobezi kama Kimei...so na wao hawaruhusiwi kujadili huo uchumi....!
  16. Kilembwe

    Rais Samia anaiua CHADEMA polepole

    Unamaanisha Rais ametoa Rushwa kwa Chadema....muwe na heshima kwa nia na maamuzi ya Rais
  17. Kilembwe

    Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

    Kwani Masters sio degree? au ulimaanisha alipataje Masters degree bila kuwa na Degree ya Kwanza (Bachelor degree)?
  18. Kilembwe

    Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

    Unapata faida gani kukashifu imani za wengine, uzi huu hauna uhusiano wowote na imani ya mtu yeyote, lakini chuki zako...
  19. Kilembwe

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Ni kweli, wakati ninajenga nilimpeleka rafiki yangu mmoja site kumuonesha (na yeye alikuwa anamalizia ujenzi wa nyumba yake wakati huo) kuna sehemu akaniuliza, " hapa ni kwa ajili ya nini mbona umeacha hivi" ilikuwa ni jikoni, nikamjibu " hapa nina plan ya kuweka dish washer" baadae akauliza na...
Back
Top Bottom