Search results

  1. Edward Sambai

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu dinia ya sasa sio ya Maguvu Bali ni akili. Huu no mtego kwa Mrusi na (japo Ukraine anaumia zaidi) Mataifa ya Magharibi na Marekani ni wajanja sana. Hapa Putin anajengewa chuki duniani kuwa yeye ni katili, Ukraine atasaidiwa kimikakati na KUPEWA silaha ili amdhoofishe Russia, Economics...
  2. Edward Sambai

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ata Kichaa kabla ajavuka Barabara huwa anaangalia usalama kwanza. Putin Hawezi kuingamiza Russia kwa ujinga kama huo
  3. Edward Sambai

    Kusainiwa mkataba wa EPA, kuwabeza wawekezaji wa ndani

    Huwa mnawanang'a wamasai wa Ngorongoro kuwa wanamiliki ng'ombe wengi lakini hawana tija kwani ni maisha yao ni maskini. Binafsi sioni tofauti ya kujivunia viwanda vya ndani wakati viwanda hivyo hudhalisha bidhaa hafifu na kuuza bei juu. Wacha EPA (Economic Partnership Agreement) isainiwe ili...
  4. Edward Sambai

    Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Naona leo umemuwai #Bwashee, nadhani bado ajagawiwa Mgao wa bando
  5. Edward Sambai

    Did President Samia really have a choice?

    Unadhani hizi pumba ulizoziandika zinaweza kuvuruga mwanzo mwema aliouonyesha Rais Samia? Nikukumbushe tu kuwa hii sio Mara ya kwanza Mh. Samia kumtembelea Tundu Lissu, na hii inaonyesha wazi Mh. Samia kama angefika ubelgiji as raia wa kawaida angemtembelea Tundu Lissu. Hapa ninachokiona kwa...
  6. Edward Sambai

    Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

    Kwa yeyote anayeitakia Tanzania mema atataka kuona Rais Samia, Freeman Mbowe na Tundu Lissu wakikaa pamoja na kuyamaliza na zaidi kufanya kazi pamoja ya kuijenga Tanzania. Najua wale maadui wa nchi hii hawatataka hilo litokee. Ila kama leo hii Rais ni wa Tanzania ni Mh. Samia na sio Magufuli...
  7. Edward Sambai

    Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Ole wako wewe unayefurahia wamasai kuonewa, kwani hakuna anayejua kuwa wakishamalizana na wamasai nani atafuata? Ilianza WAPINZANI (CHADEMA), MACHINGA, leo WAMASAI Kesho sijui kundi gani au nani. Binafsi naiombea serikali itende haki kwa kila jambo. Rais Samia ni mtu wa haki ila kama tutakuwa...
  8. Edward Sambai

    Mabango ya picha za Rais Uwanja wa Ndege KIA, bado najiuliza tatizo nini?

    Ata yakilipiwa unadhani hiyo pesa itatoka wapi? Tumia akili
  9. Edward Sambai

    Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

    Kujenga madarasa........
  10. Edward Sambai

    Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

    Binafsi nadhani ni Jaji mkuu, sababu kuna mihimili mitatu na mahakama ni mhimili wa pili na Bunge ni wa tatu
  11. Edward Sambai

    Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

    Tatizo kubwa ni sera, nazani tungebali sera zetu na kufanya utalii ni sehemu ya kutengeneza ajira kisha kodi kuwa jambo la pili. Pili serikali inachaji ghali sana kiasi kwamba mtalii anaona kutembelea Tanzania ni gharama kubwa. Ipo hivi kodi na mapato yanayokusanywa kutoka kwenye makampuni na...
  12. Edward Sambai

    Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Mkuu unaharibu kwani watu walisikia na kuelewa wewe ndio unapotosha
Back
Top Bottom