Search results

  1. C

    Bomba la gesi Mtwara kwenda hadi Mombasa, Kampala, Kigali na Bunjumbura

    i dont see the logic of this saga.:glasses-nerdy:
  2. C

    Uongo huu ni kwa faida ya nani: Mgomo bado upo

    Sina hakika kamani sahihi sana kwa muda huo wa asubuhi sana uliotembelea hospitali kama ulikuwa mwafaka kutoa majumuisho ya kwamba hakuna huduma kabisa. Hata siku sisizo na migomo Tanzania yetu hii wafafanyakazi huchelewa kazini.Lakini pia kwa ratiba za Muhimbili unaweza kuingia wodini kuona...
  3. C

    Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

    ni vizuri lakini utatuzi wa matatizo ya madaktari kwa mabavu sina hakika kama ni utatuzi wa kudumu wa matatizo hayo.
  4. C

    Elections 2010 Kiongozi wetu awe na sifa na si jinsia

    KIONGOZI WETU AWE NA SIFA NA SI JINSIA Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna utaratibu wa kubadilisha viongozi wa ngazi mbalimbali za kisiasa kila baada ya miaka mitano. Viongozi ninaowalenga kwa siku ya leo ni rais, wabunge na madiwani. Hawa ndio wawakilishi wa matakwa...
  5. C

    Elections 2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    Kukamatwa kwa waziri Sitta ni kwa kawaida kama mtu yeyote mtoa rushwa ambavyo angeweza kukamatwa, suala kwamba kwa nini yeye ndiyo atangazwe sana na vyombo vya habari jibu ni jepesi, huyu ni waziri aliye maarufu, si maarufu kwa kuwa wazir tu bali kwa kuchanganya na kuwa kwake mke wa Spika...
  6. C

    Elections 2010 Tunahitaji viongozi watanzania zaidi 2010

    TUNAHITAJI VIONGOZI WALIO WATANZANIA ZAIDI. Utaratibu wa kuwa na dola haujaanza wakati wa enzi hizi za hivi karibuni, bali ni wa muda mrefu sana. Si rai yangu kutumia kalamu hii muda huu kuonesha ni namna gani dola ilianza lakini natamani angalau niseme umuhimu wa dola ulianza baada ya idadi...
  7. C

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Jamani kuna mabo mengi sana ya kuyajadili zaidi ya hili la richmond liloendelea kwa zaidi ya miaka minne sasa na hakuna lolote zuri la kuwawajibisha hao waliokula pesa zetu walalahoi, mjadala huu wao wameufunga bungeni kibabe, basi kwa sababu hakuna jipya liletwalo na mijadala ihusuyo hii...
  8. C

    Hii ndo Tanzania yetu?

    Je sheria hii mpya ya uchaguzi iliyosainiwa kwa mbwembwe zote kama ilivyokuwa imeahidiwa hapo awali itaweza kupunguza rushwa katika uchaguzi na hivyo kutupatia viongozi bora? Kama hivyo ndivyo nini hofu ya wanasiasa wa upinzani? Je wanaona ni kiinimacho? Tanzania kwa sasa yahitaji matendo ili...
  9. C

    Nini iwe hatma ya Wapiganaji walio CCM, Warudishe kadi au?

    Hakuna haja ya kurudisha kadi pasipo ulazima, ulazima niuonao ni kwa hawa wapiganiji kulazimishwa kurudisha kadi zao ili wasiwenwanachama wa cahama A kwa lengo kwamba chama A kitabakia na nguvu kuliko vyama B, C, D n.k. Nadhani Tanzania ya kweli itajengwa na watanzania wa kweli pia, na...
  10. C

    halooooo

    hi im Chuhila.
  11. C

    halooooo

    halooo members how is it? im interested to being a member of this forum May i have your touch please so that i cant fall dowwn? happy to in the forum.
Back
Top Bottom