Search results

  1. The Boss

    Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Kuna wajuaji hapa watakuja kuuliza mbona bullet train ya Japan..nini... Mradi ujuaji tu
  2. The Boss

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Idea zipo nyingi sana
  3. The Boss

    Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Alhaj -mwanaume Hajat- mwanamke.. Amiri-mwanaume Amirati -mwanamke... Hata sasa Arab media zitamuita Samia Amirat huku Sisi tukimuita Amiri Jeshi mkuu...
  4. The Boss

    Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Rita Mimi walinihudumia ndani ya wiki 2 tu done... Lazima wewe mgumu WA kufata maelekezo
  5. The Boss

    Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

    Masandawana
  6. The Boss

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Kwamba Mebeyo kumkumbuka Magufuli na kutoa chozi ghafla tayari wataalam wa kutazama mmeshapata "yote yaliyokuwa moyoni mwake" na sasa ndo mnatutangazia hayo yaliyo kuwa moyoni mwake?.. Like seriously?...
  7. The Boss

    Watu wenye rangi nyeupe wametuacha mbali kifikra

    Anasema Tu for media Watarithi Tu Mali zake
  8. The Boss

    Mambo ambayo mwanaume wa thamani hatakiwi kuyafanya kamwe

    Nina ndugu wawili wamekufa Kwa kansa Kwa kujifanya hawali sembe ...wao Dona Tu...kumbe mahindi yenyewe hayaoshwi vizuri bado Yana sumu za dawa za kuhifadhi mahindi
  9. The Boss

    Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Wapi Wengi Tu ...ambao hawawmbukizwi...wanasayansi walikuwa wanafanya tafiti bado why?
  10. The Boss

    Prof. Janabi kashauri watu wale vyakula vipi wakati huu wa mfungo wa Ramadhani?

    Futari na daku haifidii chochote kama utaweza kaa masaa 16.....bila Kula chochote...hapo issue ni Kwa mda gani hauli chakula....kuna tofauti Sana Kwa anaemaliza Kula kitu Saa nne au tano usiku akalala..akaamka akafunga....na Yule anaeamka Saa tisa usiku Kula daku..
  11. The Boss

    Prof. Janabi kashauri watu wale vyakula vipi wakati huu wa mfungo wa Ramadhani?

    Mafuta yanayojihifadhi mwilini yanayeyuka unapokuwa huli...yanafidia ombwe la mafuta unayokusanya unapokula mara Kwa mara ...yakizidi ndo unapata magonjwa...sasa ukifunga yanayeyuka...
  12. The Boss

    Prof. Janabi kashauri watu wale vyakula vipi wakati huu wa mfungo wa Ramadhani?

    Alishawahi kusema kufunga ili kukusaidie kiafya ukae japo masaa 16.. Sio Kula daku Saa kumi usiku useme unafunga...
  13. The Boss

    ITV wanachezesha sana kamari

    Itv waliharibu wenyewe walivyogomea ving'amuzi Badala yake Mengi akawa anataka serikali icheleweshe zoezi la digital abaki analog....na zilipokuja social media ndo zikawa msumari WA mwisho...now hawana subscribers WA vingamuzi na hawana matangazo...yanaenda social media...washakufa bado mazishi
  14. The Boss

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Amefariki Canada mwezi uliopita
  15. The Boss

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Dah nimestuka sana... May his soul rest in peace
  16. The Boss

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Micky jnr Yuko mtandao upi?
  17. The Boss

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Mwaka Jana alilikosa Kwa uzembe tu...draw ya 2-2 nyumbani...basi... Halafu ni bingwa WA super league... Haogopwi bure ..
  18. The Boss

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Mamelodi sundown kaleta stress Sana Leo...
Back
Top Bottom