Mume anarudi toka kazini anapokewa na mkewe halaf hawajajuliana hali vizuri anauliza dada amelala?(mfanyakaz),au unaenda dukan na mumeo unamwambia ninunulie kiatu,anakuambia nimeona cha dada.Je ina maana anajali sana wa2 wa nyumbani kwakwe pamoja na dada?,na mume kumkumbatia dada anapofika...
@the boss na gozo,kila m2 anaamini tofauti ktk hilo jambo(tatizo lililopo),na mwenzio anakuambia yuko sahihi ilhali wewe ukiangalia kwa undani unaona si sahihi,na linasumbua kwa muda mrefu,mmezungumza na kuzungumza ila mwenzio anasema ok nitalifanyia kazi ila sasa inazidi na hakuna changes hata...
Ikiwa mmekuwa na tatizo la muda mrefu na mwenzi wako,mmejitahd kulitatua ila linaonekana halitoisha,ukaamua kupotezea.Ila imetokea tatizo hilo limekupelekea wewe upunguze upendo kwa mwenzio.Je ni sahihi kumueleza hisia zako kuwa upendo umepungua?au inaweza kuleta shida zaidi?.
Kiukwel majaribu ni mengi hayakwepeki hayo hata kidogo,communication ikiwepo sometimes inasaidia kuclear doubts,bt mungu ni mwema siku zote hapendi mifarakano
Mfuate mkeo kwa upole na utaratibu umueleweshe na uwe muwazi,ukibabaika kidogo tu ktk maelezo yako atatia mashaka zaidi ya hayo aliyonayo,atakuelewa 2 ila ucjefanya hivyo tena unaweza poteza uaminifu wote kwa mkeo
Lema alienda kwa mapenz yake huko jela sisi 2napiga kelele za nini?alijiona anahatia ndiyo maana akajipeleka mwenyewe,kila siku wana wa maandamano mnasisitiza sheria zifuatwe,halaf nyie ndio wa kwanza kupindisha,halaf mbunge anawakilisha wananch wa jimbo lake wakitoka wote kero za wananch wa...
Hivi Ewura kazi yenu ku2chezesha akili 2 na kubadili bei za mafuta kila kukicha?,hamuoni kuwa hii inaathiri sana wananchi wenye kipato cha chini,mafuta ya taa 1900 kwel mtanzania mwenye kipato cha sh.3000 kwa siku ataweza kwel?.Na serikal inashangilia 2 loool,inabidi kutafuta njia yakuzuia...
Likwanda Hata kama ni hicho kimoja wangapi wanafuata huduma hapo?,je kweli uzembe wakutokuwa na dawa?unataka kusema hospital haijafuata kwa wiki nzima wawe wanarudisha wa2 na wakijua kabisa wanazidi kuongezeka kila cku?
Alhamis iliyopita nilimpeleka mtoto akapate chanjo kwenye hospital ya pale ukonga magereza,wakasema ijumaa na j3 ndiyo wanatoa,nikaona niende j3 jana,waka2ambia dawa za chanjo hakuna mpaka wiki ijayo,watu wawe wanakuja kuangalia kama zimekuja.Hiv serikal iko serious kwel?,kama dawa za chanjo...
Baadh wanawaambia wake zao wa ndoa'unajua halima ni mwanamke haswa,yaan ni mwanamke shupav acha,mpiganaji huyo yaan i lov her,yaan shez such a woman an makumcf kila cku'angalia anavyozungumza ni ile kwa feelingz mpaka m2 unajiuliza hawa ni co-workerz au mengine?,na ni marafiki wa karibu sana saaana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.