Search results

  1. H

    Elections 2010 Busanda waanza kujuta na mbunge wao

    sasa wewe inakuuma nini. Shida yao ni kwenda kuwaona au kuwatekelezea na kutatua matatizo yao. Hebu pitia sheria za tanzania hususan za hawa wabunge sio lazima wakae kwenye jimbo lao mwenye ulazima wa kukaa kwenye ward yake ni diwani. Acha uzuzu wewe
  2. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Mheshimiwa. Nafikiri kama kweli unapenda kusimama kwenye ukweli basi refer hotuba ya Kwanza kabisa ya Mh Kikwete aliyoitoa BUNGENi alibainisha wazi kuwa Uchaguzi mkuu wa 2010 ulitawaliwa na UDINI tena wa hali ya juu sana. Sasa hili hamlioni au alart kama hii mnaifanyia nini kazi Chadema...
  3. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Hata kiongozi wa nchi Mh Kikwete alinzisha hoja ya udini wakati wa hotuba ya uzinduzi wa Bunge mwezi dec 2010. Alikitahadharisha taifa kwamba uchaguzi wa 2010 ulikuwa na udini na udini unaweza kuvunja amani ya nchi yetu. Hayo ni maneno ya kiongozi wa nchi ndani ya mjengo. sasa nyie...
  4. H

    Serikali haiuoni uchochezi huu wa kidini?

    Hata kiongozi wa nchi Mh Kikwete alinzisha hoja ya udini wakati wa hotuba ya uzinduzi wa Bunge mwezi dec 2010. Alikitahadharisha taifa kwamba uchaguzi wa 2010 ulikuwa na udini na udini unaweza kuvunja amani ya nchi yetu. Hayo ni maneno ya kiongozi wa nchi ndani ya mjengo. sasa nyie...
  5. H

    Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Asiyejuwa maana usimfunze maana. kaa kimya kama hujui ulinenalo na sababu gani mpaka leo nchi nyingi za Afrika pamoja na AU hazijatoa tamko. Yoote ni sababu za unafiki sasa waislam na Uganda sio wanafiki ndio maana wametoa tamko mapemaaaa na kulaani USA
  6. H

    Elections 2010 Busanda waanza kujuta na mbunge wao

    Acha uwongo. Mh Lolensia anatokea Butundwe na amejikita huko. Acha unafiki
  7. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    ndugu yangu weeee mbona mikwara mingi sana na kujinasibu kwa sana kuwa wewe muislam. nani aliyejinasibu au kukueleza kuwa mimi mwislam au kwa sababu za hoja zangu. Hakika mimi ni msema kweli bila kuogopa na nina uwezo mkubwa sana wa kuonesha na mara nyingi nimebainisha kuonyesha umma kuwa...
  8. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Kubali au kataa hao ndio viongozi halali kabisa wa Tanzania waliochaguliwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi. hata ukiwapuuza ni viongozi tu . kalaga baho nyie Chadema
  9. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Kila mchele mzuri basi shirt uwe na chuya. Basi hizo ni chuya katika mchele ambazo hazitibui mwelekeo wa kitu. Pole sana
  10. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    kama kweli wewe ni great thinker unatakiwa uelewe kuwa kila mtu anaweza fungiwa pale anaposhindwa kutetea na kuleta evidence za kutetea maneno yake. Siku zote watu makini wanashindana kwa hoja na sio matusi. Ninapotoa hoja basi nasimama na kuitetea kwa points na sio matusi na na kusimama na...
  11. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    ndio maana mnaitwa WADANGANYIKA sababu kila wakati mpo kuuficha ukweli kwa jili ya maslahi madogo tu ya kidunia. Hata viongozi wako wakuu wa nchi walilibainisha hili la Udini nao unawakana. Usijifanye kiziwi kuwa muwazi
  12. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Acha kujifanya chongo wakati jambo lipo dhahir. Kuwa mkweli mbele ya Mungu wako, Je uchaguzi 2010 aujatawaliwa na udini, Je unajifanya ujui kabisa kuwa kampeni zilipigwa kwenye makanisa na misikitini., Je ujuwi kuwa UDINI ni sera na makovu yenu wabara mlioachiwa na wakoloni. Tuwe wawazi bana...
  13. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Soma vizuri sana mada yangu kabla kukurupuka kujibu. Hiyo ni political game kw chadema wanataka kuwachezea na kuwa win waislamu. ndipo nikasema kwa waislam kumchukua huyu ni kama galasa na sio tulufu. Mwenda mdundo na hawadanganyiki mpaka mbadili mtazamo wenu na kuwa wa kitaifa sio ukanda...
  14. H

    Gari yenye namba ya Zanzibar naweza kuitumia Tz bara

    Unaweza kulitumia bila wasi wasi wote na ukakata nalo mitaa yote bila bughuza zozote ili mradi tu ufate sheria. Kwanza lisajili hilo gari huko Zanzibar ili lipate namba mpya zinazoanzia na Z xxx YY. kisha litapata police clearance na kulileta Bara na kulilipia kama gari inayotoka Kenya, Uganda...
  15. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Mpendwa Invisible, usitake kuwadanganya na kuongopea jamii wakati jambo lipo dhahir kabisa, Nani asiyejua kuwa Watanganyika mmetawaliwa na udini, nani asiyejuwa kuwa Udini ni masalia au kovu lililoachwa na watawala wenu wakati wa ukoloni, nani asiyejuwa uchaguzi wa 2010 huko Tanganyika watu...
  16. H

    kwanini Watanganyika wanachukia jina lao nakuita Tanzania bara?

    Hao ni watumwa ndio maana wakaitwa WADANGANYIKA.
  17. H

    Katiba ya Zanzibar Ndio Dira ya Zanzibar

    Wape wape WADANGANYIKA HAO waone wapo walipo bugi step na kuuvua UDanganyika wao.
  18. H

    Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

    Amtake nani huyo mchovu, mnafiki na mpenda madaraka. Amechooooka sanaaa kimaisha hana jipya zaidi ya kuwa yes yes apate ugali wake.
  19. H

    Ndege ya rais Tanzania ni mali ya CCM?

    Acha uzandiki wewe ulitaka iandikweje? Mwanaume we angalia lakini usije kusutwa
Back
Top Bottom