Search results

  1. kokotoa

    Nahitaji kuifahamu na kuifanya kwa vitendo Computer Networking

    Kwa kuanzia,soma CCNA ni kama foundation course ya Networking,utacheza na simulator sana na scenarios ambazo ni almost kama utakazokutana nazo kwenye field. hapa chini for free kabisa unaweza soma hiyo kozi,youtube ,jamaa ni one of the best tutor...
  2. kokotoa

    Anayeifahamu shule nzuri ya chekechea hadi elimu ya msingi jijini mMbeya anijuze!!

    Umoja Primary School (Uzunguni),ilikuwa vizuri enzi hizo ,sina uhakika ikoje sasa.
  3. kokotoa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na mkeka umetick,waydad keshapata Goli aisee,asante sana kwa aliyeuweka.
  4. kokotoa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kona 9 tayari ,ni kuomba Mungu ,Juve na Fenabache matokeo yabaki kama yalivyo ama waongeze goli,manaake goli moja halina dhamana aisee.
  5. kokotoa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Corner 6 mpaka sasa HFT,Fenerberche ndio naye anazingua mpkaka sasa hajapata goli.
  6. kokotoa

    Mimi sina wivu kabisa hata nikikuta kakumbatiwa uchi.!

    Nina wivu,lakini nilishaamua maisha ni matamu kuliko kuchapiwa, 1.Nina watoto ningependa niwaone wakiwa watu wazima 2. Nina familia ya wanaonitegemea,wanaonipenda ,walioshuhudia nikikua na kuwa MTU mzima,siwezi kuharibu maisha sababu ya kuchapiwa 3. Nina bidii kwenye kutafuta hela,hata...
  7. kokotoa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yes na anaenda kucheza club bingwa ya dunia next week ana game na Aly ahly,nusu fainali.
  8. kokotoa

    Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

    Umecopy mstari mmoja,kahesabu hizo sasa kwa rapcha,tena Dizasta keshasema ukiona tusi sorry ni typo.😂 😂
  9. kokotoa

    Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

    Hakuna content,humu ni matusi tu yamejaa,ni kama vile katoa wimbo wa kucheza club.
  10. kokotoa

    Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    "A contract cannot be unilaterally terminated during the course of a season" Hiyo FIFA regulation inatosha kugundua kwamba Fei na wapambe wake wamechemka.
  11. kokotoa

    Yanga bila kurekebisha haya mechi ya kesho itakuwa ngumu

    Kaka umemaliza,hakuna la nyongeza
Back
Top Bottom