Search results

  1. J

    Mume Kikojozi

    hahaahaa!!!! iko poa
  2. J

    Anakata roho

    zote dhambi
  3. J

    Mfungwa katoroka gerezani!!

    hana ugeni wowote huyo, ni mzoefu tena shangingi
  4. J

    Hotuba ya kutisha!!!!!!!!

    nimeipenda sana hii ndoto!!
  5. J

    Elections 2010 Magazeti haya ni wakala wa CCM

    vyombo vyo habari hivi naona vitaendelea kupotosha watu wasio na uelewa kama akina kibonde
  6. J

    wachina-Mnatutesa!!!!

    wakilizika na umbile waliopewa na mwenyezi MUNGU hawatapata wanachokitafuta, huo ulimbukeni ndo unaosumbua watu, maana ilikuwa mikorogo na sasa tena hips!!!!!!!, mbona wao hawatumiiii???
  7. J

    Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

    yes!!! hiyo babukubwa, ninafikiri itakuwa njia nzuri ya kuwakomesha watu hawa wanaopenda wake za watu, unamuona mzuri tu unafikiri hagharamiwi. big up kwa wote waliomfanyia hivyo
  8. J

    Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

    jamani english kozi hyo ipo juu sana kwa sasa, kwani kuna jamaa mmoja alishawahi kufanya interview na ID card wakati wengine walikuwa na vyeti vizuri tu, lakini cha ajabu alikuwa selected wa kwanza akawaacha hata waliokuwa na vyeti vyao, kwa hiyo ebu tujitahidi kuongea english, hii ndo maana...
  9. J

    Ingekua wewe ungefanya nini kwenye mtego huu?

    ebwana unatisha ile mbayaaaaa!. please nakuomba my bro tabia hiyo uiache, katika jamii haistahili ndugu yangu, pia unawezaje kumpenda msichana siku mbili tu na ukamwamini na mbayaaaa zaidi ni mdogo wake rafikiyo, think twice before you make decision,
  10. J

    Picha za miili ya Wanafunzi 12 walio ungua kwa moto Idodi

    do mimi inanisikitisha sana, inamanisha hata huyo mkandarasi aliyejenga shule hiyo ya idodi hakuwa na akili, maana kama nyumba ya familia ya watu watatu inajengwa na inakuwa na emergence door, litakuwaje hilo bweni la kulala wanafunzi 400 likawa na mlango mmoja tu, sijui kasoma shule gani hiyo...
  11. J

    PhD na Degree za Mwezi Mmoja: Jamani hii inaingia akilini kweli?

    zipo degree za aina nyingi therefore ask them the kind of degree wanazotoa, inawezekana ni degree za kucheza na watoto
  12. J

    Barabara ya Dar - Arusha Imefungwa kwa muda

    inabidi kuwepo na ulinzi wa kutosha si kama unavyojua wabongo, wana njaa kama nini hivyo nashauri kamanda wa polisi mkoa wa pwani aimalishe ulinzi vinginevyo watu watapigana na watataka wakachote mafuta mpaka kwenye kwenye vijiko
Back
Top Bottom