Search results

  1. Ng`wanantogwa

    Bw. Ludovick Utoh (CAG) uchunguzi wake ni kutaka kumfurahisha JK kama fadhila?

    Binafsi nimekuelewa bwana Madched! lakini Dah! safari bado ni ndefu nahisi kukata tamaa vile! haya bwana.
  2. Ng`wanantogwa

    Bw. Ludovick Utoh (CAG) uchunguzi wake ni kutaka kumfurahisha JK kama fadhila?

    Kaka! haya mambo wanayajua, yote kabisa! tatizo ni hao waliopewa mamlaka ya kuwajibisha wanakosa ujasiri wa kufanya hivyo maana na wao ni sehemu ya tatizo, kwani hujawahi kusikia upande wa polisi na uhamiaji, afisa anapangiwa mahala asipokuwa anamkumbuka mzee anahamishwa ,mara moja tena wakati...
  3. Ng`wanantogwa

    Bw. Ludovick Utoh (CAG) uchunguzi wake ni kutaka kumfurahisha JK kama fadhila?

    Nakubaliana na wewe Bw. Godwine na hasa kuhusu utoaji wa maagizo, hili nalo limekuwa tatizo katika serikali, magizo mengi ya serikali yamekuwa yanayolenga amakujinufaisha mtu binafsi au kujinufaisha kisiasa zaidi, tena ni maagizo yasiyojali utafiti,tathmin na uhalisia. mifano ni mingi tu...
  4. Ng`wanantogwa

    Bw. Ludovick Utoh (CAG) uchunguzi wake ni kutaka kumfurahisha JK kama fadhila?

    Nimekupata Bw Godwine asante kwa kueleza kwa weledi, lakini tambua kabisa mtu mwenye dhamana kubwa kama Bw. Utoh anapaswa kuwatizama watanzania na kuwahurumia sana na kisha bila kuyumbishwa na waliomuweka hapo aokoe fedha nyingi za serikali zinazopotea kwenye halimashauri zetu; mi nadhani ni Dr...
  5. Ng`wanantogwa

    Bw. Ludovick Utoh (CAG) uchunguzi wake ni kutaka kumfurahisha JK kama fadhila?

    Kuna tetesi kwamba Bw. Ludovick Utoh amepoteza uwezo na ujasiri wa kuibua ubadhilifu wa fedha za serilkali na kuchunguza usahihi wa matumizi ya fedha za serilkali na mashirika ya umma kwa sababu tayari alishamaliza muda wake na kuongezewa muda mara mbili. Kwa nafasi ya Bw. Utoh ni mtu...
  6. Ng`wanantogwa

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    Mada zingine hazipaswi kuingia humu,mfano mada ya kimajungumajungu kama hii inatafuta nini humu? Yaani kweli kwa akili zako tuanze kula unit kwa kujadili mdomo wa NAPE kweli? hebu usiwe mvivu wa kufikiri kama huna kitu cha kuweka tukijadili acha, sio kuleta mambo ya kipuuzi great thinkers...
  7. Ng`wanantogwa

    Jamani housegal wangu.........

    Hili jamvi bwana ni kiboko, lina vituko hata kama hutaki kucheka utacheka tu! sasa wewee, ushauri gani huo unampa? mwenzio yuko Serious we unaleta masihala!
  8. Ng`wanantogwa

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    Ikiwa Rostum atakubali ombi hilo la wanamagamba hakika yeye ndo atakuwa mwanasiasa uchwara kuwahi kutokea tangu kuundwa kwa msingi wa dunia hii..."
  9. Ng`wanantogwa

    Bavicha..!!

    Sasa imekuwa kawaida humu ndani watu wametekwa na jinamizi la kujadili majungu na mambo yasiyokuwa na tija katika Taifa hili ambalo liko katika wakati mgumu sana! Inashangaza licha ya kuwa na mambo muhimu kabisa leo tunajadili eti HECHE anakaa kwa kaka yake, hii hata uwe upande wowote katika...
  10. Ng`wanantogwa

    Umri gani wa kupishana kati ya watoto?

    Miaka mitano (2) ndo sahihi kabisa.
  11. Ng`wanantogwa

    ni kwel huyu mwanaume anamapenz na mm??

    Mmh! inaonyesha mapenzi yenu bado yana utoto mwingi,hebu someni kwanza mapenzi yasiwachukulie muda sana, zingatieni masomo kwanza, msiwape uchungu wazazi/walezi wenu, tuachieni sisi tulioota mvi hadi videvuni, ninasema haya ninafahamu, mapenzi yanagharimu sana afu yapoteza muda bila kutambua...
Back
Top Bottom