Search results

  1. Gudboy

    Utata katika maisha yangu

    Kuna rafikia yangu alikuwa na baba wawili. Mmoja alifariki akamwachia uruthi. Huyu wa pili akaendelea nae hadi alipofariki. Alinambia yeye akiambiwa huyu baba yako hakatai anaenda nao sawa.
  2. Gudboy

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Biashara ingekua hivyo kila mtu angekuwa tajiri Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Hahahaaa umesomeka vizuri sana mzee baba
  4. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Smart911 wa mahondaw asante kwa kufafanua zaidi.
  5. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Nashukuru sana. Hivi vitu nimegundua ni muhimu tuvihamu ili tuweze kutekeleza majukumu yetu.
  6. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Hongera sana mzee baba
  7. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Katoto kazuri nimefarijika na haya uliyoeleza kwa ufasaha. Kikubwa nilichojifunza ni kuanzia chakula, mavazi, malazi, afya, na upendo. Ila itategemeana na uwezo wa kifedha.
  8. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama ushawahi kwenda mwaga maujuzi hapa mzee baba
  9. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Asante sana. Umeeleza vitu ambavyo sikuwa navifahamu. Bila shaka na wengine watajifunza hapa
  10. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Nimeanza kupata mwanga. Kwa hiyo mahitaji halisi sana sana ni misosi sio?
  11. Gudboy

    Kuhudumia Mimba

    Wadau wa jukwaa hili bila shaka muwazima. Nina swali ninaomba kujuzwa. Je ni mahitaji gani yanahitajika kutolewa na mwanaume kwenye kuhudumia mimba? Kwa sababu kuhudumia mtoto inafahamika wazi mahitaji yake. Ninaomba kueleweshwa mahitaji yahusuyo kuhudumia mimba. Nawasilisha
  12. Gudboy

    Dunia haina usawa

    Duh Shukrani sana. Hadithi inazidi kunoga sana
  13. Gudboy

    Naomba nafasi ya uongozi chaputa

    Puchu haijawahi kuwa na mpinzani. Cha kushangaza wanaikana mbele za watu wakiwa peke yao puchu ndio mkombozi wao
  14. Gudboy

    Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

    Huu uzi una madini matupu. Watu wanatema points za hatare
  15. Gudboy

    Kuna Siri gani ya Lonely man na Gay Kufanya mambo makubwa.

    Unaambiwa ukitaka kupoteza baadha ya akili zako ingia kwenye ndoa. Badala ya kufikiria gunduzi unaconcentrate kutatua matatizo ya kifamilia
Back
Top Bottom