Search results

  1. M

    UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Daah balaa mno,poleni wafiwa na majeruhi wapate afueni.
  2. M

    Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Haya mambo yule mchungaji aliyetabiri kifo cha lowasa alitabiri pia akisema slip way,kitambaa cheupe,uwanja wa fisi na liver side anaona kuna majanga yatatokea,juzi liverside kumeungua,haya leo kitambaa duh.
  3. M

    Nimekuwa mtu wa hasira hata kwa watu wangu wa karibu

    Mmmh ngoja nikimbie kabla hujagombana na mimi bureee.
  4. M

    Kwanini wanaume wengi hawajui kufikisha wanawake zao kileleni?

    Yaani unataka nilipe nauli alafu pia nikuendeshe?hiyo haitawezekana,nalipia ninachohitaji tuu.
  5. M

    Kilimanjaro: Mfanyakazi wa ndani auawa kwa kipigo

    Mkono wa sheria unamalizwaga kirahisi sana na mkono wa pesa.
  6. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Askofu bagonza alishasema tatizo sio tumeshindwa kuiendesha bandari bali tatizo la tanzania ni rushwa,rushwa mpaka misikitini na makanisani alafu tunahangaika kulalamikia mambo mengi.
  7. M

    Siungi Mkono Kujengea makaburi

    Hapa tutaambiwa hata kuzikwa ni ujinga pia,kisa tuu ndugu hana mchango wa sanda.
  8. M

    TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Huyo alikuwa akifanya michezo ya kujirusha kwenye maghorofa,hakujirusha ili ajiue.
  9. M

    Mapishi ya samaki kambale

    Makambare ni mimba za funza,haa haa
  10. M

    Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

    Hiyo pasi ilizaa goli au aliipoteza tuu pasi yako?
  11. M

    Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

    Haa haa umenichekesha sana
  12. M

    Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

    haa haa haaa nimecheka sana,huyu chizi maarifa ndio wale wanaovaaga viatu vikubwa huku wamebeba begi na mkononi wanamavitabu eeeh??
  13. M

    Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mweeh,hapa nimegongwa na kitu kizito mno,katoliki katoliki,katoliki mtuhurumie.
  14. M

    Kwa nilichoshuhudia Jana usiku, kuna uwezekano matukio ya Moto hayatokei kwa bahati mbaya

    kuna ule moto unaokulaga ule msikiti wa kinondoni biafra karibu kila mwaka hata sijui unaletwaga na nani.
  15. M

    Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    Huu ni ukweli utakaochukiwa na vijana kama yeye alivyouchuki ule ukweli aliouongea mgogo.
  16. M

    Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

    Manzi mwenye anapenda kupiga kelele na maugomvi ni heri ujifiche juu ya pembe ya paa kuliko kuleta mazoea naye.
Back
Top Bottom