Naungana na wewe mkuu.
Binafsi naona kama wanawake wanakuwa na mtazamo hasi juu ya H/G ambazo hazistahili kuwepo. Nawaona HG kama wafanyakazi wengine wanavyostahili staha. tumesikia HG wakinyanyaswa kuanzia pengine mshahara, socialization na hata mambo mengine mengi tu. mfano kutengwa kula na...
Kwa hili nampongeza Magufuli ingawa hatua zimechelewa kuchukulia. Nadhani watu wengi wa Dar watakuwa wanalifahamu hili tatizo la vibua. watu walikuwa wanapata madhara walipokuwa wakila hawa samaki. Watu wengi walijua ni vibua toka hapa kwetu waliozoeleka. lakini watu walikuwa wanchubuka ngozi...
Hata kama watu wachache wanafoji document sioni kama TRA wanastahili kugeneralize kuwa kila mtu anayeingiza vitu TZ amefoji documents. Wanatakiwa wawe na system yao ya kuhakiki kama document zimefojiwa au la badala ya kugeneralize na kupiga ramli. Na kama kweli mtu anakuwa amefoji documents kwa...
Tuweke record sawa:
i) Epa imefanyika year 2005 and before
ii) Professor Ndulu na BOT:
- July 2007 to 8/Jan/2008 Deputy Governor
- 8/Jan/2008 todate Governor
source: http://www.bot-tz.org/AboutBOT/FormerGovernors.asp
Ni vema watu tuchangie kwa kuangalia hali halisi iliyopo, na si kwa ushabiki. Hoja walioleta wadau ya kwa kwamba hakukua na utaratibu wa kurejesha mikopo kipindi cha nyuma ni suala la msingi na ndivyo ilivyokuwa.
Sitetei watu kutolipa mkopo na sioni mdau aliyechangia kuwa hataki kulipa mkopo...
Hapo ni Dar es salaam. Nenda vijijini kule. shule inaezekwa kwa nyasi. mvua ikinyesha wanafunzi wanalowa kwa maji ya mvua. mfano hai Geita vijijini binafsi nimeshuhudia kule.
Tumuombe DPP ampe zawadi kama ile ya kina Mramba na Yona kwa kutumia vibaya nafasi yake ya urais na kuliangamiza taifa. ila yake itekelezwe ili afike keko.
Niliwahi kusikia kipindi cha nyuma, serikali iliwataka watumishi wa serikali kutokuwa nje ya kituo cha kazi (kuhudhuria warisha, kongamano, nguvu kazi nk) kwa muda usiyozidi siku kadhaa kwa mwaka. Mwenye kumbukumbu sahihi atanisaidia. Lengo hasa ilikuwa kwamba ukiwa nje ya kituo cha kazi lazma...
Anawajua wahujumu uchumi na wala rushwa kwa majina (staff wa TRA na TISCAN) lakini hawachukulii hatua.
Fedha kidogo za EPA "zilizorejeshwa" toka kwa mafisadi zinarejeshwa kwa mafisadi kwa hoja ya "kilimo kwanza"
Jameni, mkuu wa kaya JK anasema safari zake za nje hazina mbadala? je ni kweli kuwa bila hizi safari za nje Tanzania kama taifa haliwezi kuendelea? je ni kweli kama taifa tunafaidika na hizi safari? Je hizi safari za nje ndio suruhisho la matatizo ya Tanzania kama taifa?
Au hizi safari ni kwa...
Jamani hivi raisi wa TZ anatakiwa kuwa na taaluma ya aina gani? Au kama nchi ni chombo gani kinaangalia kuwa mgombea uraisi toka chama cha mafisadi(CCM) au chama kingine chochote anastahili kuwa raisi wa nchi. sina hakika kama Twendwa au tume ya uchaguzi tu ndo inatosha kuamua hili suala?
kwa mtazamo wangu tukio hili ni moja ya issues ambazo zimemsukuma mleta mada. kama mtu anaweza kusajili namba leo je tuna uhakika gani kwamba namba ambayo haipo leo haitasajiliwa kesho kwa kutumia data za kughusi zangu au zako na kukutia wewe hatiani? tusichukulie kupotea kwa data kwa maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.