Search results

  1. Jenerali QoyoJB

    Wadau wa mikopo ya dharura

    Mimi nahitaji huo mkopo ndugu yangu. Niambie utaratibu ukoje natahitaji kama milioni 12. Kila mwezi nitarejesha ngapi pamoja na riba.
  2. Jenerali QoyoJB

    Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

    Tatizo lenu mabinti wa Tanga na maeneo mengi ya Pwani hata kule mombasa wavivu. Wanadhani mapenzi ndo kila kitu kumbe ndoa ni zaidi ya mapenzi. Sasa kama mimi mfugaji huwezi hata kukamua ng'ombe upate maziwa ya chai we wa kazi gani. Mnajali kucha kuliko usimamizi wa miradi. Pia mabinti wa Pwani...
  3. Jenerali QoyoJB

    Habari Mbaya Zaidi kwa UKAWA: SUMAYE NAYE AANZA KUWAPASUA VICHWA

    Akiwa ikulu asije ruka ukute kuwahi kwa miguu. Ila lengo lake nadhani ilikuwa kuonesha yuko vizuri sana kiafya. Hajui hilo la itifaki hadi atakaposhinda.
  4. Jenerali QoyoJB

    Mtandao wa IKULU waendelea kuitangaza CCM!

    Nadhani kuna watu hawajaelewa hoja. Tovuti ya ikulu inatakiwa Mambo ya ikulu tu hasa shughuli za Rais. Ndo hoja ya mtoa hoja na ndivyo inavyotakiwa. Sasa ukisema inamhusu nini au kwamba Rais ni mwana ccm kwahiyo ni sawa kuweka habari za chama ni kukusa uelewa. Je kama wewe ni mkurugenzi wa ofisi...
  5. Jenerali QoyoJB

    Aliyenitoroka amerudi na mimba

    Msikilize yeye anavyotaka kama ni kumsamehe msamehe ulee mimba akijifungua mruhusu ampe mtoto jina yeye.
  6. Jenerali QoyoJB

    Naomba samahani kwa niaba ya wafanyakazi wa Tanzania!

    Mmmh wewe kumbe ulikuwa unafanya siasa kazini. Kumbe we ndo unatoa siri za serikali kwa wanasiasa. Kwahiyo unajiomba radhi mwenyewe sasa? Hivi ukitafakari nani unaweza kumshawishi kwa hoja za kitoto hivi. Think out of the bottle of politics. Si kila mtu anawaza siasa kazini ni wewe na wachache.
  7. Jenerali QoyoJB

    Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Watu mnaujasiri ayse yaani Kweli unaomba ushauri kwamba usichangie hata kodi kwa nyumba unayoishi na mchumba wako? Kwani ulidhani huyo ni mfadhili wako? Ukilipiwa Na wanaume wengine upo tayari kulala sebuleni aliyelipa agegede? Hebu lipa kodi Uje Na mrejesho hapa usitudhalilishe wanaume !
  8. Jenerali QoyoJB

    Msaada: Ninafika kileleni ndani ya dakika 1

    Kama ni chini ya dakika moja siyo kilele Kaka. Tafuta jina ingine. Yaani kusema ukweli unahitaji msaada wa haraka maana we Mgonjwa kabisa.
  9. Jenerali QoyoJB

    Lowassa lini utakuja Mbeya, Mwanza, Iringa, Moro, Songea, Moshi, Arusha, Mtwara?

    Yaani we maeneo yote hayo ndo msemaji wao!? Unahamu we na nani?
  10. Jenerali QoyoJB

    Nataka kulima kisasa, natafuta mwenye maono

    Lete wazo sasa unataka partnership ya bure si lazima uwe na mchango
  11. Jenerali QoyoJB

    Nataka kulima kisasa, natafuta mwenye maono

    Habari za leo wana jamiiforums. Nataka kulima kisasa lakini sina ujuzi wa kutosha katika masuala ya kilimo. Nina mtaji kiasi. Nataka nianzishe kampuni yangu ya kilimo cha mboga mboga. Natafuta aliyesomea horticulture teknology mwenye kujua kupanga project ajitokeze. Tukielewana nampa ajira ya...
  12. Jenerali QoyoJB

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Nani kafumania na ametangaza ili iweje? Mfumaniaji ana lake jambo
  13. Jenerali QoyoJB

    Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

    Kama watu wazima wameshawishika kuanza safari all the way kutoka bagamoyo kwa mabasi hadi Dodoma basi wanaweza kufanya hivyo hata siku ya uchaguzi. Na kama hao wanaoratibu wamefanikiwa kwa kiasi hicho kuwashawishi makundi mbalimbali katika jamii basi wanaweza kufanikiwa hats kushawishi wengi...
  14. Jenerali QoyoJB

    Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

    Kwani kuwa sheik bagamoyo lazima utumikie bakwata? Kwanza bakwata au taasisi nyingine rasmi ya dini hatutaki wajihusishe na siasa. Kwahiyo walioenda kivyao hawajakosea ni haki yao na ndivyo inavyotakiwa. Maana hawajaenda kwa kofia ya dini bali as individuals. Suala kama waliratibiwa hilo sina...
  15. Jenerali QoyoJB

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Kwakuwa unaumwa kifua na hiyo ndo dawa uliyosikia mtaani nakushauri ujaribu tuanze utafiti kwako. Ikikusaidia utupe majibu.
  16. Jenerali QoyoJB

    Naombeni msaada wa kujua Technical requirement na vifaa Vyote vinavyoitajika nikiwa Nataka kufungua kituo cha Radio FM.

    Hili ni suala linalohitaji ushauri wa kitaalamu siyo maoni ya juju. Unapaswa kulipia gharama ya kupewa ushauri maana unaanzisha project so fikra za watu nazo ni sehemu ya mtaji. Kwa ufupi unapaswa kujua aina ya mitambo unayotaka kuweka, uwezo wa transmita, vifaa vinginevyo na masharti ya kupata...
  17. Jenerali QoyoJB

    Lulu Michael: Kuhongwa ni presha tu

    Watanzania wepesi wa kuamini na kuanza mjadala bila kutafakari. Hebu tujiulize Lulu kasema lini hivyo, wapi, katika mzaingira gani, kahojiwa na Nani? Unapoleta habari wekeni ushahidi. Msomaji ukiona habari haina chanzo jihadhari usikoment jifunze kuwa na akiba ya Maneno. We soma upite.
  18. Jenerali QoyoJB

    Ni haki mwanamke kuzalishwa na daktari wa kiume pindi anapojifungua?

    Kwanza tuelewe kuwa madaktari hatuna wa kutosha na suala la kuzalisha inahitaji utaalamu. Kwahiyo tusiangalie jinsi katika suala la afya. Kwanza wakati huo muhusika kwa maumivu hahoji hata jinsi abahitaji huduma.
  19. Jenerali QoyoJB

    Mwalimu wa shule ya msingi akutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake wa darasa la saba (vii).....

    Huyo mwalimu wa kike naye wivu umemzidi. Kama mtoto hajabakwa wamekubaliana tatizo nini. Japo siyo vizuri ila angemuonya baada ya hapo kuliko kumharibia mwenzake kibarua. Au alitaka yeye ndo atafunwe!
Back
Top Bottom