Wallah! Ni kwa kuwa nchi haiwezi kwenda bila ya kuwa na viongozi, vinginevyo ingekuwa bora tubaki bila ya kiongozi yeyote kwa sasa. Ni kama mtu anayetendwa katika mapenzi, hatimaye huamua kubaki bila mpenzi angalau kwa muda fulani, maana HAINA MAANA TENA kuwa na watu wasiojua ni kwa nini wapo.
Kuwa na uhakika si kazi ngumu lakini kuthibitisha KITAALUMA hasa kisayansi ni kazi ngumu ama kwa lugha nyingine HAIWEZEKANI, vinginevyo awe, yeye binafsi, ana uwezo wa kufikiri kwa kutumia Makalio yake. Ama yawezekana na yeye tayari ni miongoni mwao maana hiyo ni lugha imayokera.
Ni heri kama wangeacha matangazo yabaki kuonekana unapouliza salio & kwenye cell Info Display yapokezane na taarifa za minara maana ukiyachoka unaswitch off, huyaoni tena kuliko sasa. Na matangazo haya naamini hayamo katika Vigezo na Masharti (Terms and Conditions).
Japokuwa ninaweza kuwa nimepitwa na wakati katika kuyasema haya hasa kwa kuwa aliyasema siku nyingi sana, napenda kukubaliana Msemaji aliyetangulia {Nd. Kitia) katika karibu kila jambo alilogusia. Lakini kwa kuongezea tu ni kwamba inasikitisha namna ambavyo WATANZANIA, walio wengi wanavyojitenga...
Kwa hakika nakubaliana na jamaa aliyesema kuwa msaliti wa utanzania hawezi kulinda mali za Tanzania. madereva walikuwa na haki/au sababu zakugoma maana wahenga walisema "ukiona mwenzio ananyolewa basi na wewe tia maji" hivyo madereva wana kila sababu ya kugoma maana wakati wowote yanaweza...
Hata mimi sidhani kama jengo hilo linatia aubu isipokuwa tayari baadhi yetu tumeshakuwa na Fikra za kuwa tunaibiwandio ndio maana tunakuwa "sensitive" sana siku hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.