Search results

  1. Viol

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Taifa Star kipindi cha kwanza watapigwa goli 2,kipindi cha pili watapigwa goli 2 pia. FT 4-0
  2. Viol

    Hii kauli ya kocha wa Red Arrows ina maana gani?

    Lete hiyo clip maana ushahidi wa mahojiano upo halafu tuone aliposema amepewa habari na watu wao wa Uganda
  3. Viol

    Hii kauli ya kocha wa Red Arrows ina maana gani?

    Jamaa hata kwenye page yao ukiangalia wengi wanacoment hawashangazwi na matokeo Simba ni timu kubwa kwao
  4. Viol

    Hii kauli ya kocha wa Red Arrows ina maana gani?

    Tukipata goli la ugenini kule watapata wakati mgumu ,ila 3-0 tunaenda extra ,2-0 tunapita . Ni kufanya juu chini Simba wapate draw yoyote
  5. Viol

    Hii kauli ya kocha wa Red Arrows ina maana gani?

    Baada ya mechi kwisha alihojiwa akasema. "Hali ya hewa haikuwa nzuri Ila maamuzi ya refa yalitugharimu kwakuwa alitoka ukanda huu,tutarudiana na pia refa atatoka ukanda wetu" NB: Simba waanze mkakati wa kujipanga magoli yasirudi , benchi la ufundi ijipange mapema kuhusu hiyo kauli maana...
  6. Viol

    FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Simba mpaka dirisha ndogo lifike kutakuwa hamna haja ya Chama ,aje asije poa tu wachezaji wetu wameanza kuwa wazuri
  7. Viol

    Mbinu zitumikazo na baadhi ya vyama tawala kubaki madarakani duniani

    Mwanamke wako hajambo mkuu ?,,[emoji849]
  8. Viol

    Mo awachana simba

    kwani nani hajui hao ,ligi ikianza kelele kibao ,mwaka jana waliongiza ligi zaidi ya point 10 wakafika wapi ,ligi ndo imeaza draw tu ya Simba kelele kibao
  9. Viol

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai
  10. Viol

    Mwizi ananiibia ndizi shambani

    Njoo private
  11. Viol

    Mwizi ananiibia ndizi shambani

    Mkuu uko mkoa gani ndizi zinastawi?maana mi ninaeneo langu hapa dar maji yapo inakaribia miaka miwili eneo linakaa tu naona nimeshawishika na hiyo kilimo chako sasa ndo sijui kustawi kwake
  12. Viol

    Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

    Utopwinyo watakuja kulia lia kwamba haijawekwa? Sijui wanataka iwekwe kwenye account ya gsm
  13. Viol

    Mnaopenda Kubebelea Watoto Taifa Hamjifunzi Tu?

    Sasa tickets zote saa saba mchana zilikuwa sold out halafu unasemaje watu 45,000
  14. Viol

    Mnaopenda Kubebelea Watoto Taifa Hamjifunzi Tu?

    Kwenda kuangalia msiba uwanja wa taifa ndo inashangaza ,ila kwa mpira siyo mbaya but Cha kujiuliza mechi ya derby utakaaje na mtoto mda wote mle ndani? Kuna siku mechi ya derby jamaa aliingia na mtoto wa kama miaka 6 ,yeye kavaa Simba mtoto kamvalisha jezi ya yanga halafu akaenda kukaa uwanja wa...
  15. Viol

    Mnaopenda Kubebelea Watoto Taifa Hamjifunzi Tu?

    Uwanja unachukua watu wangapi?
  16. Viol

    Msaada: Napata woga na hofu wakati wa kufanya mapenzi hadi mashine inalala

    Au geto haina ceiling board ,unaongeza sauti ya redio unapiga show majirani wagonga punguza sauti ya redio
Back
Top Bottom