Search results

  1. N

    Msaada wa kuomba kazi TRA

    Jaribu usiku...mchana watu wengi wanaaply
  2. N

    Advans Bank

    Habari wana Jamii forum. Hawa jamaa wa advans bank wametangaza nafasi ya finance assistant na wamesema watu waaply online kupitia address ifuatayo http://recruit.advanstanzania.com ..sasa nauliza ni nani ameweza kuaply kupitia hiyo address Maana mi kila nikifungua hiyo website inakataa...
  3. N

    MSAADA AJIRA YA MUDA,tempo

    Kwann umetoa excuse kuwa wewe ni msichana..kwan kuna masomo yanafundshwa na wanaume tuu! Jiamini Dada angu
  4. N

    Nini kinasababisha Matiti ya mwanamke kuanguka?

    Jamani matiti kudondoka ni serious,kuna dem mmoja hapa mtaani kwetu alikuwa na matiti ya ukweli (sa 6)..Baada mda akaolewa,alivyorudi tena kutoka kwa mmewe titi halitamaniki (yamedondoka).Ijapokuwa hata hajazaa!mtasemaje ni maumbile..inaonekana huyo jamaa yake anadili sana na kifua
  5. N

    Msaada

    Kaka Ramthod asante sana kwa ushauri ,nadhani sasa nimekupata..
  6. N

    Natafuta temporary job

    Thanx Shy,nitafatilia suala hilo.
  7. N

    Natafuta temporary job

    Ha ha ha..i read somewhere kuwa a normal male anakaa for abouts 10-20minutes until he is on again,kumbe i was Exageratng! Siumwi wala nn,thanks for ya concern lakn preta
  8. N

    Msaada

    Wandugu asanteni kwa kunisaidia,huyu jamaa sure kaniboa..huwezi kuamka nyumbani umegombana na familia then unaleta hasira huku JF..sure there is time for everything,jamaa kakurupuka tu.
  9. N

    Msaada

    Ndio maana kukawa na forums mbalimbali,na i think u do not understand why Jf Doctor is here for..unawezaje kujadili masuala ya mgombea mwenza au umaskini kwenye Jf doctor?..wakati kuna forums zingine special kwa hizo discusions? "please do not criticize what you dont understand"
  10. N

    Natafuta temporary job

    Habari wana JF,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza pale mzumbe university nachukua degree ya accountng and finance(BAF),natafuta kazi yoyote ambayo nitakuwa nafanya na wakati huo huo naendelea na masomo yangu pale chuoni.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia tuwasiliane kwenye namba 0789398738
  11. N

    Msaada

    Habari ndugu wana jamiiforum..Naomba niulize swali,hv inachukua dakika ngapi kwa mwanaume alie rijali kuanza tendo la pili la ndoa baada ya kufika kileleni mara ya kwanza.Mara ya mwisho imenichukua kama dakika 12 hivi ili mzee ainuke tena.Hii ni hali ya kawaida au ni matatizo haya,maana...
  12. N

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Hivi ni kweli wanaoumwa ugonjwa wa ngiri hawawezi kurudia tendo kabisa.Na pia tendo la kwanza linaisha baada ya mda mfupi sana
  13. N

    Vituko vya bodi ya mikopo Tanzania

    Mwenyewe ilinishangaza kuona huyo jamaa anagonga mihuri nje wakati hata maofisa wa bodi wanamuona..Tanzania bwana
  14. N

    maana yake nini

    jamani nani anajua maana ya cinnamon kwa kiwahili..na pia inapatikana wapi hapa Tanzania.
  15. N

    Kwaherini wana_Forum

    "the best way to solve problems is not to stay away from them."..Kama nyerere angekimbia matatizo ya kipindi kile leo hii tungekuwa wapi?..You should do something to your country!
  16. N

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Mi nadhani hizi ni mbinu tu za kufanya watu wale matunda..maana mtu mpaka aambiwe na doctor ndio ale matunda.Leo hii akitokea doctor feki akasema machungwa yanaongeza miaka ya kuishi duniani. Baada ya wiki sijui jama tutayaona machungwa barabarani
  17. N

    Nani amewahi kutumia hizi

    nasumbuliwa na maumivu ya miguu..kuna wakati misuli ya miguu inauma sana hasa mapajani.Nimetembelea hospital nimeshindwa kupona kabisa.Sasa nikaona nijaribu na mitishamba kidogo nione matokeo..
  18. N

    Nani amewahi kutumia hizi

    nasumbuliwa na maumivu ya miguu..kuna wakati misuli ya miguu inauma sana hasa mapajani.Nimetembelea hospital nimeshindwa kupona kabisa.Sasa nikaona nijaribu na mitishamba kidogo nione matokeo.
  19. N

    Je ni kweli

    waungwana kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi cha pillow talk kwenye times fm..nikamsikia yule mtangazaji (Amani misana) anasema eti kuna dawa ya kutibu Ngiri Bongo bila Operesheni..Je ni Kweli?
Back
Top Bottom