Search results

  1. danielwc

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    hapo ndo utamkubali mwalimu, aliliona hilo kwa ug na mapema tu tukamng'oa amini ili tuwe na amani. hapo hamna namna zaidi ya kuingia vitani kuwang'oa hao a-lshabab. or else jirani zetu hawataishi kwa amani tena.
  2. danielwc

    Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?

    kama keshakuona na bado anakuja hapo, anakutaka huyo. mzingue kiutani uone kama hatakupa penzi ili uendelee kuficha siri
  3. danielwc

    Athari za sasa na za baadae za viongozi wa BAKWATA kuchochea uhasama dhidi ya CHADEMA...

    chadema na kanisa!! does that mean ccm na miskiti!! thats so low, hii point ni nzuri na haiko biased kivile kwa mtu mwenye mtazamo chanya! infact mleta hoja ni kama yuko sympathetic zaidi kwa waislam kama majeraha ya uchaguzi wa igunga hayatatibiwa na kupatiwa ufumbuzi wa kudumu. wanaonufaika na...
  4. danielwc

    Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

    dah, inasikikitisha sana. R.I.P
  5. danielwc

    Athari za sasa na za baadae za viongozi wa BAKWATA kuchochea uhasama dhidi ya CHADEMA...

    Uchambuzi mzuri, mwenye akili ataelewa. gharama za chuki za namna hii ni kweli zipo. na ndugu zetu waislam wanapaswa kuwa makini na viongozi wanaotumia taasisi zao kwa manufaa ya chama flani. huwezi kuusemea moyo wa mtu na ni ukweli usiopingika kwamba hata wakristo wapo wengi tu waliokwazika kwa...
  6. danielwc

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    Nafikiri benno is trying to be realistic here, na ukweli usio na mawaa ndio unaweza kuisaidia ccm isife moja kwa moja pindi ikishaanguka kwenye uchaguzi wa 2015. kwani hata chadema kitahitaji upinzani wenye nguvu ili kitekeleze ilani na sera zake kwa ufanisi.
  7. danielwc

    Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

    honestly nshahama siku nyingi hiyo radio siisikilizi kabsa kwa sababu ya huyu kibonde, yuko kama ze comedy ya kina masanja nshawapotezea kitambo coz hawana jipya zaidi ya kujikomba kwa utawala. politics ni kama dini to some extent na ukishaikashfu imani ya mtu unamtoka moyoni, akilini, na rohoni...
  8. danielwc

    Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

    Upeo wake ndo umefikia mwisho wake hapo, tusimlaumu sana! atakuja kuigharimu sana clouds fm pindi utawala ukibadilika!
  9. danielwc

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    at least amesema, tumeujua msimamo wake! BIG up Benno
  10. danielwc

    Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

    hahahaaaa....... after all the damage!! bora angekaa kimya' astaghafulillah
  11. danielwc

    Hayati jk alivipiga vita leo vinapigiwa makofi

    mtiririko haujatulia
  12. danielwc

    Mkosamali (MB) kuhamia CHADEMA

    mmmh, kazi kweli kweli..... kwa huu upepo unavyovuma tutakua na chaguzi nyingi sana!! kwani kila anaejua kusoma nyakati inabidi ahamie cdm nw. CCM is a sinking ship kwa hiyo kuendelea kuing'ang'ania lazima utazama nayo na by 2013-2015 atakua ameshachelewa na hatapokelewa cdm. Na kuanzisha chama...
Back
Top Bottom