Search results

  1. John10

    LIVE: World Cup Final: USA VS. JAPAN

    Watch Live Here ESPN: The Worldwide Leader In Sports
  2. John10

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Hivyo ndivyo CDM inavyoendeshwa kiubabe. Hawa jamaa hawatopewa nchi hata kidogo. Viongozi wa CDM ni sawa na Hitler, hii ni hatari kwa nchi. Angalia huyu jamaa wa CDM anavyotishia wenzake, wow!!. Unadhani huu ni mwaka 1967?
  3. John10

    Mashehe wazungumzia hali ya siasa nchini

    Muslim conquests (Arabic: الغزوات‎, al-Ġazawāt or الفتوحات الإسلامية, al-Fatūḥāt al-Islāmiyya) also referred to as...
  4. John10

    Mashehe wazungumzia hali ya siasa nchini

    Muslim conquests (Arabic: الغزوات‎, al-Ġazawāt or الفتوحات الإسلامية, al-Fatūḥāt al-Islāmiyya) also referred to as...
  5. John10

    Mashehe wazungumzia hali ya siasa nchini

    Muslim conquests (Arabic: الغزوات‎, al-Ġazawāt or الفتوحات الإسلامية, al-Fatūḥāt al-Islāmiyya) also referred to as...
  6. John10

    Kikwete kajenga barabara nyingi kuliko awamu zote tatu?

    Nani Mdini hapa? Kila kitu watu wa dini fulani, halafu mkiambiwa Wadini mnapiga kelele eti JK ndiyo Mdini. Acheni ujinga wenu kupotosha historia.
  7. John10

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    siyo kweli maneno yako. Na huyu mwandishi je? Kama si Nyerere, tusingekuwa na ombwe hili la uongozi! Evarist Chahali Uskochi 29 Jun 2011 Toleo na 192 WIKI hii ninazungumzia jambo linaloweza kuwakera baadhi ya wasomaji wa safu hii; ninajaribu kumkosoa mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu...
  8. John10

    HP kufungua kiwanda Tanzania ni wazimu mtupu!

    Kuwa mzalendo. Na kama ni habari za kweli, basi inabidi WTZ wote tushangilie, hii ni GREAT NEWS kwa nchi. Usijali kuhusu umeme, hizi kampuni kubwa zinatumia umeme wao wenyewe wa solar au generator. Hadi barabara wanajenga zao wenyewe. Ni habari nzuri.
  9. John10

    Jambo Usilolijua: Rais Mwinyi - Nyerere hakuwa Mdini wala Mkabila

    Hujui kwamba Dar ni ya Waislamu. Ndiyo maana humuoni mtu wa Kanisa wenu Padre Slaa kuja huku. Kuna counter attack ambayo inamsubiri Slaa. JK, ataweka kila kitu sawa kwa Waislamu. Hiyo inequalities unayosema itapungua. Mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili tuweke usawa wa utawala, kwa sababu...
  10. John10

    Apple CEO Steve Jobs is Biological Arab Muslim- American with roots in Syria

    Ni vizuri kuona mataifa mbalimbali yanatoa watu ambao wanafanya mambo ya maana duniani kupitia mgongo wa Marekani. Tumeona kijana Obama wazee wake kutoka EA kuwa rais, na vile vile kufahamu wazee wa Steve Jobs kutoka ktk nchi ambazo ni maskini duniani. Je Marekani ina siri gani ambayo nchi...
  11. John10

    Apple CEO Steve Jobs is Biological Arab Muslim- American with roots in Syria

    Steve Jobs is a biological Arab-Muslim American with roots in SyriaFebruary 28, 2011 ⋅ 8:41 pm ⋅ Post a comment Filed Under Apple, AUB, Business, Lebanon, Steve Jobs, Syria By Mohannad Al-Haj Ali Steve Jobs is the founder of Apple, Pixar, and NeXT Computer Steve Jobs, arguably...
  12. John10

    Wahenga waliliona hili la Kikwete na viongozi wa dini

    Ebu ondoa upuuzi wako wa kidini hapa
  13. John10

    Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

    Kulikuwa na haja muhimu ya kuweka hadharani posho za Slaa, kwa sababu alikuwa anataka aongezewe zaidi. Hapo ndipo Mbowe akaona bora atoe hadharani kwa makusudi ili tuangalie mkakati mwingine. Usiwe na pressure, kuna process ya kumuondoa Slaa, ambayo inapikwa sasa hivi.
  14. John10

    Ambassador from Tanzania: Who is Mwanaidi Maajar?

    Siyo lazima uchangie kila article kama unaona hauna point. Huyo Mama Balozi kafanya mambo ya maana. Mpe heshima yake.
  15. John10

    Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

    I declare Nyerere ni Hitler.
  16. John10

    Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

    Yes, alifanya kwa makusudi. Kuna mpango maalum unaandaliwa wa kumuondoa Dr. Slaa madarakani, kwa sababu Slaa haisaidii chama zaidi ya kuropoka tu kila siku. Upo mkakati maalum ambao unafanyika wa kumuondoa Slaa, haraka iwezakanavyo.
  17. John10

    Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

    Wakati umefika wa kumfananisha Nyerere na Hitler. Nyerere kaua, kawahamisha watu sehemu zao za kuishi na kuwapeleka vijijini. Hitler alifanya sawa sawa na Nyerere.
  18. John10

    J.K Nyerere na siasa za maji taka

    Anaitwa na nani? mbona anajulikana kama Dikteta na anafananishwa na Madikteta wakubwa kama Hitler.
Back
Top Bottom