Search results

  1. Zasasule

    Msaada; Tofauti ya kukodisha jengo kama kampuni na mtu binafsi

    Habari zenu Wana JF nahitaji msaada , nyumba ya ghorofa(apartments) inaYofanya biashara ya kupangisha ikiwa inamilikiwa na watu 7. Wamiliki wakifungua kamapuni kwa ajili ya kuendesha shughuli za upangaji au kuendesha shughuli zake za ukodishaji kama watu binafsi kutakua na tofauti...
  2. Zasasule

    Msaada: Tv inahitaji kingamuzi cha NTC

    Mkuu nimejaribu lakini nimeshindwa
  3. Zasasule

    Msaada: Tv inahitaji kingamuzi cha NTC

    Ndugu nikiweka hdmi still bado inaleta black n white
  4. Zasasule

    Msaada: Tv inahitaji kingamuzi cha NTC

    Habari zenu..hope mko poa.. nimenunua tv inch 55..but tatizo lake nikiconnect kingamuzi chochote picha inatoka black and white ..yaani haitoi rangi. But nikiconnect dvd ya singsung..nikiset to Ntc.inatoa rangi... so kwa upande wangu hii tv system yake ni pal na hapa inatumika ntc.. So...
  5. Zasasule

    Msaada: Utumaji pesa kwa kutumia Western Union

    shukran kaka kwa fikra zako,, umejibu masuali yangu .. Tatizo bank niliyokwenda hakunipa ufafanuzi mzuri huyo muhusika...
  6. Zasasule

    Msaada: Utumaji pesa kwa kutumia Western Union

    Habari zenu wakuu, Ninahitaji kutuma pesa internationally kutoka Tanzania kwenda India. Njia kuu nilizozisikia ni Western Union na Moneygram.. Katika hizi ipi ni bora na kwa nini? Je, makato yake yanakuwaje? Especially kutoka Tanzania kwenda India? Na nchi nyingine je inakuwa vipi? Maelezo...
  7. Zasasule

    Kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    huyu mtu kakimbia shule tangu form 2.. yaani hana hata cheti kimoja,, hata hiko cheti cha kufeli hana
  8. Zasasule

    Kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    yuko hapa hapa dar es salaam.. kwa hapa bongo ni ipi center nzuri?
  9. Zasasule

    Natafuta Mwanaume mwenye VVU

    sorry for what you have,, Bt i recomend usiweke picha for privacy issue,, kuna watu humu jf wanaweza wakawa friends and family..so utakuwa umejiexpose.. Really iam sorry... those medicines,, they are hard,, arent easy...
  10. Zasasule

    Kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

    Habari zenu wanaJF, Kuna ndugu yangu, kwa kweli ni mtu mwenye umri tena, 24years. na wala hana cheti cha form 4. alifeli kabisaaaa sasa ameamua kusoma ili afanye mtihani aweza kupata cheti na kuendelea na elimu 1.JE ATAPATA WAPI MWALIMU WA KUMFUNDISHA HAYO MASOMO, ESPECIALLY YA BIASHARA...
  11. Zasasule

    Msaada: Wapi nitapata daktari wa wanyama?

    anapatikan wapi? yeye ni dokta?
  12. Zasasule

    Msaada: Wapi nitapata daktari wa wanyama?

    niko maeneno ya magomeni
  13. Zasasule

    Baada ya ku-install partition magic computer yangu haitaki kuwaka naomba msaada

    Pole na tatizo,, What you need to do nikwenda kweye safemode by pressing F8 key,then select safe mode,, ikishafunguka do system restore( Click start,all programs,Accessories,system tools, system restore. Then select the last date ambayo computer yako ilikuwa inafanya kazi vizuri...Then click...
  14. Zasasule

    Msaada: Wapi nitapata daktari wa wanyama?

    Hello jf members nahitaji msaada ni sehemu gani nitampta daktari wa wanyama, nahitaji kumzuia paka wangu asizae!! if possible nikipata full details zake, i will be gratefull hope to get help sooon NATANGULIZA SHUKRAN
  15. Zasasule

    Ninunue gari la aina gani kwa bajeti ya 6M

    Nunua gari itakayokuingizia na kipato pia kama hutojali!!! Chukua suzuki carry!!!!
  16. Zasasule

    Android root

    use this site.. utapata all s2 roots as well as custom firmwares. GalaxyS2Root.com - Your Source for Galaxy S2 root, roms, and more tips!
Back
Top Bottom